Kauli yako imentisha be...
hata kushtuka hujashtuka halafu unadai nimekutisha acha uwongo wewe dada
Bado mnaandika barua za posa?
She'll go home with a protruding belly and that'll be it...!
Nikitaka kuoa, sitatumia mfumo kama huo!!
Comment kama hizi ndio huwa zinatambulisha hata umri wenu.
Labda ana mantiki kubwa kuliko unavyoweza kuchukulia wewe, je umeshawahi kuiona barua ya posa?
Umeona eeh? Wana miaka 22 hawa
umeona eeeh mi nilikuwa sijawahi ona
Comment kama hizi ndio huwa zinatambulisha hata umri wenu.
Hawa huwa tunawaita under 30. Utadhani wanafanya makusudi kumbe maji mengine bado ni marefu kwao.
Umeona eeh? Wana miaka 22 hawa
stop judging mister comrade...!
hizi fake identities zisikufanye ukapaniki kijinga..!
..wakati mwingine tunatoa comments kwa utani kufurahisha jukwaa..!
Hawa huwa tunawaita under 30. Utadhani wanafanya makusudi kumbe maji mengine bado ni marefu kwao.
hahaha.. (22 + 22 - (33 + 12))/0 =.....!
huo ndio umri wangu..!
Tatizo lako moja tu, nataka kupeleka posa kwa kutumia ile mbinu pale juu lakini we mnyimi sana..!!Mweh mweh umeamua kunikomesha naona nyota tu hapo
Tatizo lako moja tu, nataka kupeleka posa kwa kutumia ile mbinu pale juu lakini we mnyimi sana..!!
...Endelea kupandisha mkuu..
Lakini upunguze munkari coz utaanza kuandika nonsense na kuaibisha #TEAM30 +
Sa unataka nikupeje? Ninyi ndio walee mliosemwa mchana na yule.mdau kwamba mnashindwa kujiongeza