hongera kwa kuanzisha thread
Labda ana mantiki kubwa kuliko unavyoweza kuchukulia wewe, je umeshawahi kuiona barua ya posa?
Kama baba mkwe nasema hivi mahari yako sitaki ila utajua utanipa nini
Umefikiria kama mimi
viroba ni vibaya sana!
Labda ana mantiki kubwa kuliko unavyoweza kuchukulia wewe, je umeshawahi kuiona barua ya posa?
ungekuwa umeoa au umewahi kupeleka barua ya posa usingesema hayo uliyo yasema.
Ukikua utakuja kujua kwann jamaa kaandika hivi
Bado mnaandika barua za posa?
She'll go home with a protruding belly and that'll be it...!
isshhh
mambo gani tena haya
Nikitaka kuoa, sitatumia mfumo kama huo!!