YAH; OMBI LA NAULI

Jitukuu

Senior Member
Aug 11, 2015
187
80
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Nimepata mchumba kutoka South Africa ila ndugu yenu nauli ya kumtumia sina kumleta huku kwetu sina jamani watanzania wenzangu najua sasa ni kitu kimoja msaada wenu ndio muhimu sana ili niweze kufanikisha ndoa yangu wote mtapewa kadi za harusi bure!
Natumaini ombi langu litashughulikiwa.
Wenu katika kulijenga taifa
JITUKUU
 
Kadi zitakuwa bure!?Wakati watakuwa wamesha changia kwenye nauli!Na wewe,utamu wako mwenyewe ukichangiwa watakuchanga na wewe wabongo hawa utajikuta umeshakuwa kimchepuko badala ya mwenye mali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Nimepata mchumba kutoka South Africa ila ndugu yenu nauli ya kumtumia sina kumleta huku kwetu sina jamani watanzania wenzangu najua ss ni kitu kimoja msaada wenu no muhimu sana ili niweze kufanikisha ndoa yangu wote mtapewa kadi za harusi bure!
Natumaini ombi langu litashughulikiwa.
Wenu katika kulijenga taifa
JITUKUU
Nauli tu inakushinda mkuu,vipi utaweza ku-accomodate wakuu wa jf bure kwenye harusi yako ?
 
Wenzio majani ya chai tunatumia kupikia chai wewe unavuta ona sasa mazara yake
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Nimepata mchumba kutoka South Africa ila ndugu yenu nauli ya kumtumia sina kumleta huku kwetu sina jamani watanzania wenzangu najua ss ni kitu kimoja msaada wenu no muhimu sana ili niweze kufanikisha ndoa yangu wote mtapewa kadi za harusi bure!
Natumaini ombi langu litashughulikiwa.
Wenu katika kulijenga taifa
JITUKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utambulisho wa muamala 123456789.20000000 imetumwa kutoka NMB bank. 2019.8.22 Salio lako jipya ni 20000000.
 
Ata south Sana bony Kama Nigeria tuma iyo nauli ujue kwa mzungu s'io kwa mungu
 
Back
Top Bottom