Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,471
- 12,374
Habari wana JF, ninaomba kuuliza kwa mwenye uelewa
anisaidie kuhusu hili jambo.......nimesoma katika moja ya
prospectus ya chuo kikuu huria cha Tanzania {open
university} kuwa shahada ya kwanza ya sheria
inafundishwa kwa njia mbili...njia ya kwaza ni kwa
masafa marefu "long distance" {LL.B by distsnce} na njia
ya pili inafundishwa kwa kutumia "partially taught
programme" {LL.B EXECUTIVE}.........
swali langu ni kwamba hii LL.B EXECUTIVE ina gharama
zake tofauti na ada au inakuaje naomba ufafanuzi kwa
anayefahamu kuhusu hili jambo.....na je utaratibu wake
upoje ili uweze kuwa ndani ya hii LL.B
EXECUTIVE.........KWA YEYOTE ALIYESOMA OPEN
UNIVERSITY SHAHADA YA KWANZA YA SHERIA ANISAIDIE
NB:ada ya LL.B ni kiasi gani? application zinaanza mwezi gani? nimecheki kwenye website yao hizi details hazipo.
cc RUBYA 455