Yah kupotelewa na mke.

Yah kupotelewa na mke.


heeee shemeji mi nawataka
wote coz ni wa halali kabisa
pete za ndoa kidoleni ni mbili
nawapenda sana waume zangu ila
loya zaidi,siri yako Excel asijue!!

hapana. Hakuna sheria ya ndoa chit-chat inayo ruhusu ndoa juu ya ndoa.

Alaf huyo Excel ngoja kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Mukama wange! Does'nt enough ! Plus na , Katonda wange!
Kwa hali nilipoiona imefikia .
Ni hivi Loya , siku zote nimekua nakwita "my right hand!"
It means you're my nearest person! Kuzingatia huko tulikotoka!
Majuzi kati hapahapa cc nilifumania eneo flani , na Passion Lady na Bwa mdogo anaekwenda kwa Id Excel nikakuta wanabadilisha love soothin words , obviously nilishtuka .
Eventhough (damu nzito kul.....) sikukubali hali ile niiachie kiuwepesi, nililazimika kuhoji kwa P'lady, majibu aliyonipa inshort yalikua "makavu live"
"Jamaa yako alishanitosa , sijui alihamiaga Siasani, hivyo naongeza ndoa ya pili , nitakua na waume wawili, na huyu mume mpya nampenda sana!"
Hayo ni baadhi ya majibu aliyonipa .
My righthand domo lilinishuka .
Kilichobaki tumsubiri mwenyewe atakuja hapa na kauli gani .
Coz mi bado naamini alikua akifanya mzaha na jockes , she was not serious as well .
Aiseeee!uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!Katonda wange.......nla kola khii?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom