Yah kupotelewa na mke.

Yah kupotelewa na mke.

Last edited by a moderator:
nikweli shemeji mie waala sitaki maneno, umbea, majungu na fitina ndio maana sitaki kusema kuwa pacha angu amefunga ndoa tena na shemeji yangu mpya Excel na wanapendana sana.... Shemeji wala sikuambii chochote maana utadhirai

pacha unaunguza picha wallah
mi nipo semina na Excel ni bodigadi wangu
tu!!ruttashobolwa honey wala hujaibiwa!!
 
Last edited by a moderator:
Mukama Wange hakuwepo kwenye harusi ila kaka ake Chacha Wangwe ndo alikuwepo na Kukola nae ndiye alikuwa MC na akanana wako wala hakuwa mkaa ni mweupe pee!!
hahahaha
shem umenichekesha sana haya majibu yakp
 
Back
Top Bottom