Yah kupotelewa na mke.

Yah kupotelewa na mke.

Last edited by a moderator:
Haaaa niache nicheke mie,
Unashinda kwenye kesi za siasani
hadi mke amekimbia, loooh,
Mtafute Bishanga pengine yuko naye (Ni siri lakini usiseme)
 
Last edited by a moderator:
Eli79 ! !
Mie ?
Umenihuzunisha takriban pipa 5 za huzuni ! Kwa namna ambavyo hauendi sanjari na mtiririko wa uzi ! Inshort revisit my comments once again .

mkuu jaribu kuwa wazi bwana, kwani kumtaka mtu ni tatizo?
 
Last edited by a moderator:
Ni wiki tatu zimepita toka my akanana apotoweke.

Niliona si vyema kutoa taarifa mapema kwa Polisi ben kabla ya kuanza kumtafuta.

My akanana ni pacha wa Lady doctor,nimemuuliza anasema hawaja wasiliana siku nyingi sana.

Nilibeba ming'oko, korosho na pweza wa kuchoma kutoka nanjilinji nimfanyie suprise my akanana lakini sikumkuta.

Nilipata habari my akanana alionekana sehemu fulani na shemeji yangu sosoliso hadi sasa siamini kama sosoliso ana muacha Paloma na kumtorosha my akanana.

Mwenyekiti wa mahusiano Baba V nime kujulisha hili unisaidie maana sijui la kufanya maana mimi siwezi ishi bila my akanana.

Kwakweli my akanana popote ulipo jitokeze maana......

Nilishakushauri mara nyingi loya kuhusu ndoa ukawa mbishi, Kutwa kucha uko siasani ni Lema Mwigulu Zitto Nape huku watu wanalea ndoa. Kuwa makini kijana.
 
Last edited by a moderator:
mkuu jaribu kuwa wazi bwana, kwani kumtaka mtu ni tatizo?

Tatizo ni wewe kunitakisha ambae mie sijamtaka ! Na sifikirii kumtaka . Mbona hapa Kei za umwagwe !
Hizo za kubanana mtu shazi kama foleni ya ndoo za maji bomba la manispaa , kwangu hazina nafasi .
 
Ha ha haaa
Mmmmh,
Malizia hao waliobaki kwanza, heee.

Sijamaliza , na nahitaji nikurudie ukaguzi maalum wewe mara ya pili kwa sababu maalumu za kiofisi.
J'4 saa 3 usubui fika afisi bila kukosa .
 

switat mi pombe sinywagi c unajua
nimeokoka baada ya huu mgogoro?
mpe pacha wangu hzo grants sita!!
 
Back
Top Bottom