Yah kupotelewa na mke.

Yah kupotelewa na mke.

i love u too my Excel
my laazizi nyongo mkalia ini!!
 
Last edited by a moderator:

looooo shemeji acha akuda
honey Ruttashobolwa,huyu nduguyo
ndio alinieleza kua umeenda kijijini na umeozeshwa
mke mwingine huko anaitwa kokushubira!!eti mimi nimekaa
kimjini sana wazazi wakaona uwe na wa kijijini ili awe analima
mashamba yetu huko!!hasira zikanishika na mimi nikaolewa!!kwa hiyo
we ukienda kijijini kwa kokushubira mi nabaki mjini na Excel!!
 

heeee shemeji mi nawataka
wote coz ni wa halali kabisa
pete za ndoa kidoleni ni mbili
nawapenda sana waume zangu ila
loya zaidi,siri yako Excel asijue!!
 
Last edited by a moderator:

jamani pacha muacheni loya wangu
nampenda sana ingawa na yeye amemuoa kokushubira
huko kijijini!!ila mme mdogo ana mbwembwe wallah!!

My akanana kwa nini umenikimbia?
 
mkuu, sosoliso, usiniharibie uhusiano wangu na KOKUTONA...mimi na Passion Lady wala hatukuanza, ana vikoba huyo hadi naogopa kumchumu, lol. Yeye na Ruttashobolwa wanawezana manake nasikia nae si haba. Hata pachaake Lady doctor SI haba... Samahani nimekuwa m'mbea leo.

eti nini?mi vikoba vyangu
si ni kukopesha hela tu
mbona shem na ww unanikatili hivyo khaaa!!
hufikchi hata kidogo !!
 
Back
Top Bottom