Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
mmmmh...
.ati ukiwa mjanja kugongewa ni siriya ndani, lol..
naona Ruttashobolwa amekuwa mjanja sana, ati hani wake anaenda kufundishwa vikoba na Excel...
c ndio ujasiriamali wenyewe!!
au wataka na mkeo afundishwe?
kua muwazi tu!!