Yafuatayo ni majina yenye bahati,mvuto na hodari 100% ktk suala zima la ndoa na sexy pia

Haha we Halima jina lako lipo ngoja nikabadili jina niwe na bahati!
Hivi na wewe unamuamini GENTAMYCINE? Basi huna tofauti na hawa wanaomwagika povu hapa....
Huku ni kuchangamsha jukwaa tu don't take it seriously. ..
Mimi jina langu halipo lakini najijua mwenyewe mambo yangu.
 
Last edited by a moderator:

Bora umemtia moyo
 
Last edited by a moderator:
Shekhe Yahaya ameacha legacy kubwa sana kwenye akili za baadhi ya watu. Hawafanyi mambo bila kujua nyota au kuangalia majina
 
Kwani ua linatafuta maji au mwenye ua ndo hulimwagilia na kulistawisha? We nikukaa tu kila kitu nitahangaika mwenyewe, hivyo mambo ya wine na nguo wala usijali.
kwa hiyo mwagiliaji akifa na mimi nianze kunyauka ? mimi sitaki
 
Back
Top Bottom