Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,627
eeeh mi nataka uwaziri bhana
Haya rakabati choo kwanza,
Miss kulikoni? Mbona hivo?
eeeh mi nataka uwaziri bhana
Mhhhhhh????nimenuna maana hata kuongozana na mie huwa hautaki leo ngoja nirudi kwetu:banghead::banghead:
hahahha unamakusudi.... yani uondoke na weekend yote hii, na mi huku ntabaki na nan!!! basi tutakua tunaongozana tena nashika kiuno kuanzia mwanzo mpaka mwisho
eeeh mi nataka uwaziri bhana
una choo, maana nyumba choo.
Mie flat ya hatari ila kwa huo mshape naona kuna watu wenye shape zaidi ya huyo
Nyumba bila choo sio nyumba