Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Sasa hii ndiyo ku-REST IN PEACE kiukweli🙂 Wewe makaburini unategemea kuwe na kelele au vurugu??? Hiyo ndiyo PEACE!!!
Kuna watu wana moyo wa kijasiri sana aiseee
Kuna tatizo gani?
Huyo mkaka kapumzika makaburini
huyu nae atakuwa ni moja kati ya wale wanaochimba makaburi, ameshazoe.....