Luther samwel
Member
- May 20, 2020
- 85
- 43
Shughulika na BBI wewe.You spend years denying that you were LDC but now you want to be congratulated for not being LDC anymore? You can't have it both ways.
It's great that you're finally out of the LDC club. If only we had Somalia Ethiopia, Uganda and DRC in the middle income bracket too. This region would be so much further ahead economically
Yaani mpaka BBI wmeisahau.Kwani rais MAGUFULI alikuwa anawapa taarifa wa Kenya au wa Tanzania? Mbona wana washwa sana? Nyie endeleeni kupima nanihii mpaka pesa mlizopewa na mabeberu ziishe
SijaelewaHao manyng'au bado ni mafala kweli kweli.
Kila afanyacho lazima wahangaike nacho tena haswa kwa njia hasi. Hamna jema kwao. Hamna jema liwahusulo Watanzania.Magufuli kila anachofanya ni big news Kenya, ata akikohoa lazima iwe ni big news huko Kenya, wanampenda na kumuogopa sana.
Wakenya wanamuogopa sana, amewabana na kuwafukia katika kila eneo, njia pekee ya kujiliwaza ni kumpakazia na kumsema vibaya, ila wakenya wengi wanampenda sana, hawa wenye kumchukia ni wale toka upande wa mlima Kenya.Kila afanyacho lazima wahangaike nacho tena haswa kwa njia hasi. Hamna jema kwao. Hamna jema liwahusulo watanzania.
Matokeo yake waandishi wanaanza kupunguzwa kazi wanafikiri habari ili iwe nzuri ni kuiponza Tanzania wakati watu wao wanafaidika na Tanzania ndio maana wameacha kununua magazeti.Hawaandiki negatives kuhusu Tanzania
Wanaandika negatives kuhusu kiongozi wa regime ya serikali ya Tanzania
Big difference hapo!
Tanzanian citizenry is the most humble, hardworking, respectiful human beings on earth, and everybody on earth love us including Kenyans and rest!
Kweli kabisa Magufuli kila anachokifanya Kenya ni habari kubwa sana,yaani Magufuli anafuatiliwa sana KenyaMagufuli kila anachofanya ni big news Kenya, ata akikohoa lazima iwe ni big news huko Kenya, wanampenda na kumuogopa sana.
Kila afanyacho lazima wahangaike nacho tena haswa kwa njia hasi. Hamna jema kwao. Hamna jema liwahusulo Watanzania.
Wanakaujinga kao binafsi kicwaniYani Wakenya sijui wana nini vichwani. Ni wana ujinga wa ajabu, wivu na chuki!