Yaani Kenya ipo desperate na mambo ya Tanzania mpaka inashangaza

Inashangaza kiukweli,

Hakuna media ya Kenya iliyoripoti kuhusu Tanzania kuingia kwenye kundi la MIC ila media zao zipo busy kutafuta negative news about us au plotting fake worse news on us.

Kutokana na kukaukiwa kabisa kwa habari mbaya na potofu kuhusuTanzania, walivyo wapumbavu wamekuja na hii takataka 😅😅😅

Kosa Mali upate akili, kitu hizi chang'aa media wamekosa ni vyote akili na mali hawana sasa ni kuonesha namna walivyo mapopoma.

-----
b6c8a17da79e357e0c059a0cf02187bb

President John Magufuli of Tanzania on Wednesday July 1 took to social media to share some good news with Tanzanians about the world bank announcement upgrading Tanzania to middle class economy country. He did so in his native Kiswahili language.

“Benki ya Dunia leo tarehe 01 Julai, 2020 imeitangaza Tanzania kuingia UCHUMI WA KATI. Nawapongeza Watanzania wenzangu kwa mafanikio haya. Huu ni ushindi mkubwa na kazi kubwa tumeifanya, tulipanga kuingia uchumi wa kati ifikapo 2025 lakini tumefanikiwa 2020. MUNGU IBARIKI TANZANIA,” shared President John Magufuli on twitter.

6b87da03f9c99a5df9022f3c948c0edc
However, controversial Kenyan Dj LaQueenJ came out to criticize president John Magufuli for always sharing messages with his citizens using Kiswahili language. She challenged president Magufuli to try addressing his people in English since he is the president.
“You mean you cant address your people in English and you're their President. Enyewe wewe ni pombe tu,” replied DJ LaQueenJ to Magufuli.

It appears president Magufuli read her reply and decided to prove to her that he actually has a PhD in chemistry and her earned it the right way. Several minutes later, for the first time on his social media, president John Magufuli shared the same message in perfect English setting the internet on fire.

“Today, the World Bank has declared Tanzania Middle Income Country. In this regard, I congratulate all my compatriots for this historic achievement. We had envisaged to achieve this status by 2025 but, with strong determination, this has been possible in 2020. GOD BLESS TANZANIA,” shared president Magufuli in a subsequent tweet.

4f8a01e6c7e20bbd080e03360df92c81

This new move shocked many. Even Dj LaQueenJ herself did not believe. Magufuli having beaten her ten nil, she accused him of rigging. DJ LaQuuenJ recently made headlines when she openly offered herself to be chewed by musician King Kaka.

“Where did you copy this sir. Congratulations I know your handwriting, this is not you alcohol!” submitted Dj LaQueenJ.

cb433799a461c4026dff4de089e59f50
Public outcry from Tanzanians have made her delete the posts.
c444d060bf4e829bc709c69779133b46

Many others who were shocked by Magufuli’s latest move had the following to say. John Hayes
Why take long to tweet in English. Is it a must to be informed by Kenyans before you do something bure kabisa.

Dynastiesmustfall
After kupashwa na Wakenya umeamua Kuongea Kizungu.

ac1d20867144fa83374c7198888231aa
Jr. Aluwatani. Umeamua kutuchapia na kizungu mzee.
Ms. Shynne Kibunga
Mr. President made his first English tweet today. Congratulations for this achievement too.

a80007b509023dd5e32f00ada63cb88d
Superior IK
But this sounds like it's not your voice, who is this.
Bolshevik 1917.
You can't be Serious JIWE, who wrote this for you, we know you from the toe to the Head. This isn't your writing please turn to your lane. Plagiarism is crime Mr. JIWE.
DR. Robert Kasainne
Mind you, the president has a PhD in chemistry and he did his thesis in English.
Hawaandiki negatives kuhusu Tanzania

Wanaandika negatives kuhusu kiongozi wa regime ya serikali ya Tanzania

Big difference hapo!

Tanzanian citizenry is the most humble,hardworking,respectiful human beings on earth,and everybody on earth love us including Kenyans and rest!
 
Hawaandiki negatives kuhusu Tanzania

Wanaandika negatives kuhusu kiongozi wa regime ya serikali ya Tanzania

Big difference hapo!

Tanzanian citizenry is the most humble, hardworking,respectiful human beings on earth,and everybody on earth love us including Kenyans and rest!
Hahahaha, who represents Tanzania? Wakenya miaka yote wanekuwa wakiwashambulia Watanzania na viongozi wao toka enzi za Mwalimu Nyerere, huyo ndiye aliyechukiwa na wakenya kupita rais yeyote wa Tanzania.
 
Hahahaha, who represents Tanzania?
Who represent Tanzania where?

Kuna mfanyakazi tumempa ajira,anaitwa rais.

Katika MAZURI yote anatuwakilisha sisi maana tumempa kazi na mshahara anapata!

Katika MABAYA yote au liabilities zozote,hatuwakilishi sisi,anajiwakilisha yeye binafsi!

Yaani katika liabilities tunajitenga nae,yeye mwenyewe hiyo liability imsulubishe yeye tu with us isolated!

Jifunze isolation principle!
Wakenya miaka yote wanekuwa wakiwashambulia Watanzania na viongozi wao toka enzi za Mwalimu Nyerere
Na sisi tumekua tunawashambulia the same way!

Sema hatujapima magnitude ya pande zote mbili!

Tatizo sisi tunajigeuza victims wakati na sisi hua tunatukana the same way!
huyo ndiye aliyechukiwa na wakenya kupita rais yeyote wa Tanzania.
Binafsi, Nyerere as a leader sina nae tatizo, binafsi namchukia sana kutuletea socialism na upumbavu mwingine wa taifa zembe na watu legelege, basi!
 
You spend years denying that you were LDC but now you want to be congratulated for not being LDC anymore? You can't have it both ways.

It's great that you're finally out of the LDC club. If only we had Somalia Ethiopia, Uganda and DRC in the middle income bracket too. This region would be so much further ahead economically
 
Who represent Tanzania where?

Kuna mfanyakazi tumempa ajira,anaitwa rais.

Katika MAZURI yote anatuwakilisha sisi maana tumempa kazi na mshahara anapata!

Katika MABAYA yote au liabilities zozote,hatuwakilishi sisi,anajiwakilisha yeye binafsi!

Yaani katika liabilities tunajitenga nae,yeye mwenyewe hiyo liability imsulubishe yeye tu with us isolated!

Jifunze isolation principle!

Na sisi tumekua tunawashambulia the same way!

Sema hatujapima magnitude ya pande zote mbili!

Tatizo sisi tunajigeuza victims wakati na sisi hua tunatukana the same way!

Binafsi,Nyerere as a leader sina nae tatizo,binafsi namchukia sana kutuletea socialism na upumbavu mwingine wa taifa zembe na watu legelege,basi!
Pole sana kaka. Duniani huwezi kuoendwa na watu wote labda kama unauza "Icecream". Chuki zako kwa yeyote zinakuumiza mwenyewe, Magufuli anaiwakilisha nchi kwa lolote liwe liwe baya au zuri, binadamu hawazi kufanya yote mazuri, lazima ukimpenda mkeo lazima uyapokee na kuyakubali mapungufu yake.

Rais akishachaguliwa ndio muwakilishi wa nchi ndani na nje ya nchi, analolifanya kama ni zuri sifa inakwenda kwa nchi husika, na kama ni baya pia sifa inakwenda kwa nchi husika. Kwasasa Magufuli ndiye mwenye kuiwakilisha Tanzania, lolote analolifanya ni Tanzania inafanya, sio Magufuli.
 
Pole sana kaka.
Asante sana

Na wewe pia pole sana!
Duniani huwezi kuoendwa na watu wote labda kama unauza "Icecream".
Of course huwezi pendwa na kila mtu!

Everybody knows this!
Chuki zako kwa yeyote zinakuumiza mwenyewe, Magufuli anaiwakilisha nchi kwa lolote liwe liwe baya au zuri, binadamu hawazi kufanya yote mazuri, lazima ukimpenda mkeo lazima uyapokee na kuyakubali mapungufu yake.
Mkuu,nina chuki,zinaniumiza mimi mwenyewe,how do you know?

Nina chuki na Magufuli,simpendi,huwezi nilazimisha nimpende!

Hapo hapo unanitisha eti chuki inaniumiza mimi mwenyewe ili niogope nimpende!

Thats oxymoronic!

Tushaelewana tangu mwanzo,kua mtu hawezi pendwa na kila mtu,sasa mtu wako simpendi then unarudi hapo hapo kunitisha ntaumia mwenyewe kisa namchukia!

Mazuri tu ndio anatuwakilisha nayo,mabaya ni yake binafsi!

Hatutaki mapungufu yake yawe liability ya nchi nzima,no human being's shortcomings zilete maafa kwa 60mil people!

Huo upumbavu unataka wewe,lakini mimi kama mimi siukubali na trust me kwa population yetu kuna watakaokubaliana na wewe na wengine watakubaliana na mimi!

Hakuna punguani atakubali mapungufu ya Magufuli yamletee hasara yeye!

Mapungufu yake yamletee hasara yeye na wanaohusika nae huko!
 
Naton Jr,

Ġoodluck
@RealHauleGluck

·
3h

LOWER-MIDDLE INCOME ECONOMIES - Tanzania ni moja ya nchi 5 zilizoingia kwenye kundi la UCHUMI MDOGO WA KATI jana wakati “Zimbabwe” ambao tuliwapa msaada wa mahindi na kujiita “DonaKantri” wapo kwenye kundi hilo tangu mwaka 2012. - Takwimu hazina uhusiano na maisha ya Mtanzania.
Image
 
Yaani hili jambo limewastukiza wakenya kwa ghafla,wameumia sana na imewachanganya sana.Ona wanavyoumia,yaani ni wivu kwa kwenda mbele.

Angry Netizens Fault Uhuru's Troubled Economy, Miss Kibaki as Tanzania Named Middle Income Country

msalah.o
6h

(President Uhuru Kenyatta and his Tanzanian counterpart President John Magufuli having a light moment. Photo Courtesy)

The World Bank has named the United Republic of Tanzania a middle income country. The World Bank updates these classifications on 1 July every year based on GNI (Gross National Income) per capita (the value of a country's final income in a year divided by its population) in US dollars.

Tanzanian President John Pombe Magufuli was pleased to announce the remarkable milestone to the world, revealing that he and his compatriots had envisioned to achieve this by 2025.

As Tanzanians celebrated this majestic achievement, thanks to President Magufuli's hard handedness, their neighbors in Kenya were not a happy lot.

Kenyans on Twitter could not hide their bitterness as they received the unimaginable news that their neighbors in Tanzania had caught up with them.

"We are still a Lower Middle Class Economy and Tanzania has caught up with us just like Ethiopia," wrote Twitter user Abuga Makori.

Others could not hide their disappointment in President Uhuru Kenyatta's adminstration as they reminisced over former President Mwai Kibaki's government which left a thriving economy.

"Kibaki did a tremendous job to the Kenyan economy despite political wrangles from Raila Odinga compared to Uhuru Kenyatta with the handshake," wrote Daisy as she compared Kibaki's challenges to Kenyatta's advantage with his handshake with Odinga that has cooled down the political temperatures.

In a comparison made by the Standard, between Kenyatta's and Kibaki’s two terms in office, Kenyatta's administration has not recorded a consistent score in tax to GDP ratios in seven years. On the other hand, in the same seven years towards the end of former President Kibaki's last term, the increase in tax revenues largely kept up with the growth of the economy.

"He (Kibaki) did something about the economy which President Uhuru has been unable to do," noted Maina Wilson.

As Maina Wilson and others celebrated the heroic former President for his ability to steer the Kenyan economy to the right direction, others took the liberty to wish a quick recovery to the former head of state who is ailing at a city hospital.

"Let us pray for Kibaki, the only President who had the country at heart," wrote one Twitter user Debby
 
Tatizo rafiki ni kuwa unaquote gazeti za kupanguzia chooni. Hata Kenya tuna gazeti useless kama hizo. Mwandishi wa hiyo article anasema kuwa TZ sio middle income kwa sababu world bank imesema kuwa ni lower middle income. Middle income ni middle income tu ila issue ni kuwa middle income imegawanywa mara mbili lower na upper lakini zote ni middle income. Sasa sijui huwa unasoma hizo takataka kwa nini? Jikite kwenye daily nation na standard newspaper. Hao wengine ni wachumia tumbo na wajinga sana.
 
Naton Jr,

Ġoodluck
@RealHauleGluck


Kumbe kukubali kudanganywa ni uzalendo? Maelezo kwenye tovuti ya
@WorldBank
yanajieleza vema kabisa nimsikilize JMP au MATAGA waliotoa neno “LOWER” kwenye Post zao. Tanzania ipo kwenye Group la “LOWER-MIDDLE ECONOMY” sio “MIDDLE ECONOMY” msilazimishe

Minyaneni na WB

Translate Tweet

Image


 
Naton Jr, chotera said:

Mbona hata kenya tupo nao kundi moja? Kwa sasa sisi ni uchumi wa kati haijalishi mkubwa au mdogo ilimradi tumechomoka kwenye ldcs mliokua mnatutukania[/QUOTE]

Hamna bado nyie ni LDC, ni mfumo wa WB umebadilishwa tu. kila nchi ipo pale pale. Kundi la LOW INCOME sasa litaitwa Lower Middle Income

fatma karume aka Shangazi
@fatma_karume


Wallahi lazim Elimu ya #Tanzania iboreshwe. Kumbe tumewekwa kwenye KUNDI la LOWER MIDDLE INCOME kwa sababu WORLD BANK wamebadilisha MFUMO wakupima Utajiri wa Nchi na wameondoa LOW INCOME!



Translate Tweet
Image
1:21 AM · Jul 2, 2020·Twitter for iPhone

Quote Reply
Report Edit Delete
 
Back
Top Bottom