Yaani Kenya ipo desperate na mambo ya Tanzania mpaka inashangaza

Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
7,868
19,258
Inashangaza kiukweli,

Hakuna media ya Kenya iliyoripoti kuhusu Tanzania kuingia kwenye kundi la MIC ila media zao zipo busy kutafuta negative news about us au plotting fake worse news on us.

Kutokana na kukaukiwa kabisa kwa habari mbaya na potofu kuhusu Tanzania, walivyo wapumbavu wamekuja na hii takataka 😅😅😅

Kosa Mali upate akili, kitu hizi chang'aa media wamekosa ni vyote akili na mali hawana sasa ni kuonesha namna walivyo mapopoma.

-----
b6c8a17da79e357e0c059a0cf02187bb

President John Magufuli of Tanzania on Wednesday July 1 took to social media to share some good news with Tanzanians about the world bank announcement upgrading Tanzania to middle class economy country. He did so in his native Kiswahili language.

“Benki ya Dunia leo tarehe 01 Julai, 2020 imeitangaza Tanzania kuingia UCHUMI WA KATI. Nawapongeza Watanzania wenzangu kwa mafanikio haya. Huu ni ushindi mkubwa na kazi kubwa tumeifanya, tulipanga kuingia uchumi wa kati ifikapo 2025 lakini tumefanikiwa 2020. MUNGU IBARIKI TANZANIA,” shared President John Magufuli on twitter.

6b87da03f9c99a5df9022f3c948c0edc
However, controversial Kenyan Dj LaQueenJ came out to criticize president John Magufuli for always sharing messages with his citizens using Kiswahili language. She challenged president Magufuli to try addressing his people in English since he is the president.
“You mean you cant address your people in English and you're their President. Enyewe wewe ni pombe tu,” replied DJ LaQueenJ to Magufuli.

It appears president Magufuli read her reply and decided to prove to her that he actually has a PhD in chemistry and her earned it the right way. Several minutes later, for the first time on his social media, president John Magufuli shared the same message in perfect English setting the internet on fire.

“Today, the World Bank has declared Tanzania Middle Income Country. In this regard, I congratulate all my compatriots for this historic achievement. We had envisaged to achieve this status by 2025 but, with strong determination, this has been possible in 2020. GOD BLESS TANZANIA,” shared president Magufuli in a subsequent tweet.

4f8a01e6c7e20bbd080e03360df92c81

This new move shocked many. Even Dj LaQueenJ herself did not believe. Magufuli having beaten her ten nil, she accused him of rigging. DJ LaQuuenJ recently made headlines when she openly offered herself to be chewed by musician King Kaka.

“Where did you copy this sir. Congratulations I know your handwriting, this is not you alcohol!” submitted Dj LaQueenJ.

cb433799a461c4026dff4de089e59f50
Public outcry from Tanzanians have made her delete the posts.
c444d060bf4e829bc709c69779133b46

Many others who were shocked by Magufuli’s latest move had the following to say. John Hayes
Why take long to tweet in English. Is it a must to be informed by Kenyans before you do something bure kabisa.

Dynastiesmustfall
After kupashwa na Wakenya umeamua Kuongea Kizungu.

ac1d20867144fa83374c7198888231aa
Jr. Aluwatani
Umeamua kutuchapia na kizungu mzee.
Ms. Shynne Kibunga
Mr. President made his first English tweet today. Congratulations for this achievement too.

a80007b509023dd5e32f00ada63cb88d
Superior IK
But this sounds like it's not your voice, who is this.
Bolshevik 1917.
You can't be Serious JIWE, who wrote this for you, we know you from the toe to the Head. This isn't your writing please turn to your lane. Plagiarism is crime Mr. JIWE.
DR. Robert Kasainne
Mind you, the president has a PhD in chemistry and he did his thesis in English.
 
Mikenya ina tatizo la kujifanya wazungu wakati ni waswahili wenzetu, sisi tunafanya mambo yetu kiswahili na mambo yanaenda,wao wanatuchukia usoni ila tupo kwenye mioyo yao
Hawana uswahili wowote sababu hata kiswahili hawakijui na wala sio lugha yao
 
Tukiripoti mabaya mnakasirika, tukikosa kuripoti chochote mnakasirika pia...
GDP $100b mnataka tulinganishe na ya $63b kweli? Mtag Ghana afu Ethiopia and Angola kabla tuwakaribishe kwa 100b table...chezeni na 2 digits, 3 digits Ina wenyewe.

Mlituongoza nyakati zile, huu ni wakati wetu mpende msipende.
 
Tukiripoti mabaya mnakasirika, tukikosa kuripoti chochote mnakasirika pia...
GDP $100b mnataka tulinganishe na ya $63b kweli? Mtag Ghana afu Ethiopia and Angola kabla tuwakaribishe kwa 100b table...chezeni na 2 digits, 3 digits Ina wenyewe.

Mlituongoza nyakati zile, huu ni wakati wetu mpende msipende.


You can't eat gdp.
 
Back
Top Bottom