sajumo JF-Expert Member Nov 20, 2013 1,832 1,048 Jan 30, 2018 #1 Kwa hii taswira hapa ndio hajakua keshaanza kubenjua mdomo hiv hapa kwli tumlaum mzazi jaman
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Sep 19, 2016 5,188 6,012 Jan 31, 2018 #2 kwa fimbo maombi na dua atanyooka tu
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,144 15,145 Feb 1, 2018 #6 Faaah...Navyopenda watoto hapa kama umeniharibia tu siku yangu
Nussayr JF-Expert Member Oct 5, 2012 241 233 Feb 2, 2018 #7 GIUSEPPE said: Click to expand... Kuna Dogo langu anapenda sana Pozi hili akikwazika, Popote alipo Abarikiwe tene na tena...
GIUSEPPE said: Click to expand... Kuna Dogo langu anapenda sana Pozi hili akikwazika, Popote alipo Abarikiwe tene na tena...
emmychaya76 Member Nov 30, 2017 31 31 Feb 2, 2018 #8 Hayo ni madhara ya mama kula ndimu wakat wa ujauzito
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 43,707 60,766 Feb 2, 2018 #9 sajumo said: Kwa hii taswira hapa ndio hajakua keshaanza kubenjua mdomo hiv hapa kwli tumlaum mzazi jaman Click to expand... Huyo mbona kijeba ni kwa vile tu ni kiandunje
sajumo said: Kwa hii taswira hapa ndio hajakua keshaanza kubenjua mdomo hiv hapa kwli tumlaum mzazi jaman Click to expand... Huyo mbona kijeba ni kwa vile tu ni kiandunje