OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 428
Mchumba wa Slaa nae si kafunguwa yake ya upinzani?
Mchumba wa Slaa nae si kafunguwa yake ya upinzani?
Hivi nyie watu hamlali hata siku Moja bila kuiota chadema?
Huyu mama no 2 huwa nikimwona anaongea kwenye tv nashindwa kabisa kumsikiliza kama vile yupo darasani anafundisha vile
Hivi nyie watu hamlali hata siku Moja bila kuiota chadema?
Taasisi ya mama mdogo naona inawajali sasa kina mama wa upande ule...........