Ya wahenga..

Feb 18, 2017
63
62
MAMA NA BABA

MAMA: anakupenda mpaka ukimtazama machoni unauona upendo wake.
BABA: anakupenda bila kuonesha dalili yoyote machoni.

MAMA: amekutambulisha duniani.
BABA: ameitambulisha dunia kwako.

MAMA: amekuonesha thamani ya uhai.
BABA: amekuonesha thamani ya kuishi.

MAMA: anahakikisha haupati njaa.
BABA: anahakikisha unajifunza kutokana na njaa.

MAMA: anakulinda usianguke.
BABA: anakufunza kunyanyuka baada ya kuanguka.

MAMA: alikufunza kupiga hatua na kutembea utotoni.
BABA: anakufunza kupiga hatua za kimaisha.

MAMA: anahakikisha unajifunza kutokana na uzoefu aliopitia yeye.
BABA: anahakikisha unajifunza kutokana na uzoefu unaopitia wewe mwenyewe.

MAMA: anakufunza kwa tafakuri.
BABA: anakufunza kwa uhalisia.

MAMA: kupitia kwake unajifunza kujali.
BABA: kupitia kwake utajifunza kuwajibika.

Imeandikwa na Maundu Mwingizi (MwanaBalagha).
 
Wazazi ndio kila Kitu.
Wenye wazazi msichoke kuwaenzi! Ni Tunu!
Kwangu Mama alikuwa kila kitu!
Alinipigania kwa njiani zote!
Alintengenezea njia sahihi ya kupita akija itanifikisha kule alipopataka, in her absence, now I enjoy my achievements!
Mipango ya Mungu! She was there in my struggle. Now she is not around to enjoy the fruits of the seeds she planted.
Wasiohusika wa nakula matunda ya My Mama! Dunia!
RIP My Mama!
RIP My Father!
 
Pole sana ndugu

Mkuu wazazi is everything na hawana mbadala. Niliwahi kuingia kwenye mgogoro na Bi mkubwa kiasi ambacho nilikuwa naweza kukaa hata mwezi nisimpigie simu aisee roho ilikiwa inaniuma sana kwa ile situation lakini nilipokuja kuwaza kunamtu anatamani angekuwa ana mtu anaitwa mama halafu mimi ninae na namuumiza kwa sababu ya ( egoism)(msaada wa tafsiri ) yangu.nilijitahidi kwa kila njia kuondoa kile kitu thanks to God this time tupo vizuri na maisha yanaendelea
 
Pole mkuu endelea kuyaenzi waliyokuusia.
Wazazi ndio kila Kitu.
Wenye wazazi msichoke kuwaenzi! Ni Tunu!
Kwangu Mama alikuwa kila kitu!
Alinipigania kwa njiani zote!
Alintengenezea njia sahihi ya kupita akija itanifikisha kule alipopataka, in her absence, now I enjoy my achievements!
Mipango ya Mungu! She was there in my struggle. Now she is not around to enjoy the fruits of the seeds she planted.
Wasiohusika wa nakula matunda ya My Mama! Dunia!
RIP My Mama!
RIP My Father!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom