Nilikuwa miongoni wa waliolaumu uamuzi wale wabunge waCDM kususa hotuba, Niliainisha kwenye moja ya posting zangu kuwa (hapa nanukuu) Madai ya KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI NI YA MSINGI, kuacha kuingia katika vikao vyote vya bunge hadi madai hayo yatakapotekelezwa ni ujasiri, kutoka bungeni wakati hotuba ya raisi inaanza ni Unafiki, uzandiki, roho mbaya, ubinafsi na kuendeleza chuki zisizo na maana, sasa mwenye akili apime kutoka bungeni na kubaki kipi kinajenga heshima,kushawishi hata wabunge wasio wa chama chako kukubali hoja hizo ili ipatikane katiba na tume huru ya uchaguzi? Ninachofahamu madai ni ya msingi lakn njia iliyotumika inaturudisha nyuma sana, tunawategemea wabunge wa ccm katika hili, ACHENI UTOTO NA SIASA ZA CHUKI, CHADEMA WAMECHEMSHA NA LAZIMA WAAMBIWE? (mwisho wa kunukuu).
Yaliyoendelea kuhusu kuvuliwa unaibu upinzani bungeni kwa Zitto niliona ni yale yale, nikafikia kutoa maoni kwa formula hapa JF na hapa nanukuu TENA.
YR 2010, Mh. Zitto(ujana&maendeleo duni Kigoma)+ Slaa(agenda ya Ufisadi &Kanisa)=Kura mil.2, MP23
YR2015 Absence of zito in Chadema + CCM kuteua mgombea Mkristo = kura laki 3 MP 5.
This marks end of CDM
Wenye msimamo mkali hapa JF hawakusita kuchafua hali ya hewa, wakisema asulubiweeeeeeeeee, msalitiiiiiiiiiiiiiiiii, wakasahau mchango wa Zitto CDM, wengine wakafikia kusema Mh Zitto alijiunga na CDM akaikuta na umaarufu iliyonayo leo.No! navyofahamu alijiunga tokea enzi za Dr Kabourou na ni mtu ambaye hata alipokuwa UDSM alikuwa anashiriki vikao mbalimbali vya Chama, Personally nilishuhudia hilo.
Point yangu hapa nataka ieleweke wazi kuwa Baada ya Kamati kuu kutoa kauli ya kumtambua Rais na kumrudishia ZK uongozi hadi uchunguzi utakapofanyika imezidi kumpandisha ZK na kuonyesha kuwa alikuwa sahihi katika uamuzi wake, ikimaanisha kuwa ana Busara za kushinda Mwenyekiti wake na Katibu wake pia .Viongozi hawa wawili ambao kila siku naona ndio watakaoiangusha CDM kwa ajili ya siasa za fisasi,Chuki,Ubinafsi, Kutaka sifa (hata kama chama kitaathirika) inaonesha hata hawakutaka ushauri wa kamati kuu kususia hotuba ya JK na kutomtambua kama Rais(ambapo baadae wakajichanganya eti ilikuwa ni madai ya katiba mpya, tume huru na kutokubali matokeo ya tume, after thoughts???). Kitendo hiki ni udhaifu mkubwa na sasa naona mantiki ya ZK kuomba uenyekiti wakati ule ambapo hata mimi nilimlaumu.
Sijui Mipango walionayo CDM kwa sasa lakini nawasihi wazee hawa wajipange kukisaidia chama kwa ushauri wa mara kwa mara na sio kusubiri wanachemsha, Baada ya hili la ZK wajitahidi kuondoa dhana ya ukaskazini na udini ambayo wanaCDM wapende wasipende imejionesha kwenye uchaguzi uliopita, wakirudishe kuwa chama cha Watanzania wote kama wanataka waaminiwe na kupewa dhamana ya kuongoza nchi. CDM iwe na Mipango thabiti na ya muda mrefu nakumbuka kwenye POST moja mwana JF mmoja kama ilivyo kwa wengi alijinasibu sana kukusanya wanachama, eti tokea uchaguzi aliwapata 124, na kwamba ZK hata akiondoka hakutakua na effect yeyote nakumbuka nilimwambia hivi, nanukuu,
I dream chama makini chenye mipango , mipango ya miaka at least 20 hivi ijayo. Kiwe na programu maalumu ya kupata wanachama wasomi vijana, kuwe na programme ya semina elekezi kutoka kwa wataalamu waliobobea ktk siasa, waendelee kusoma na kufanya kazi zao,(their proffesionals) huku wakiwaelimisha jamii wanamotoka umuhimu wa mabadiliko, uhusiano kati ya kura na maendeleo ya kijamii na hivyo kujua umuhimu wa kupiga kura na kwa nini kuna vyama vingi, haya yote wayafanye kama volunteers wakibadilishana katika vipindi tofautitofauti vya masomo yao,Likizo , PT, disertation na hata wakati wakiwa ktk maeneo yao walimoajiriwa. Aidha viongozi wa juu wawe wanawatambua wanawaenzi na kuwatia moyo, wao wenyewe wawe na programu za kwenda vijijini kwa mwaka si chini ya operation 5, wakafungue matawi na kuwatambulisha vijana WAPIGANAJI katika maeneo yao.mwisho wa kunukuu.
Mambo haya hayawezi kufanywa na viongozi wanaotaka uraisi kesho, au kesho kutwa.Tulionao sasa, kama ni wazalendo kweli, waanzishe harakati na wakubali kuwa wakati muafaka wa kutwaa nchi hii wao WATAKUWA WAMESTAAFU, Maana watakuwa wamechoka! ikumbukwe CCM ni chama chenye zaidi ya miaka 40, kina mizizi isiyoweza kungoka kwa agenda moja tu UFISADI, inahitajika mipango ya Muda mrefu.
NAWASILISHA