Mwacheni kwanza mchizi apone ndio mumchane na wakati mwingine hamjachangia hata cent. Its happen maradhi yanamkuta mtu yeyote na mengine need external muscle na mengine kimtindo watu wanamaliza. Wote mnajua resources za nchi ni kwa ajili ya viongozi na wasanii kipato chao bado akiendani na kazi wanazofanya kama mnaendelea kugonga copy na kuonyesha kazi zao bila kuwapa hata cent watatoka vipi.
pale wanapoweka kalikiti na zaazuu vichwani na kupa ma-lipshyn hata mtu ukimjua hataki salam ukikutananae klab matumizi kama msanii wa holywood wakiumwa wanatulayimisha kutoa michango kwenye vifilam vyao wanawataja mapredezye tu mbona awataji hata kituo cha watoto yatima mi sichangi kwanza babu yangu anaumwa zaid nami naitaji nichangiwe yan yakwao yetu sote matatizo yangu ni ya peke yangu hao marafiki zao ni watu wenye pesa si wangemuona papaa musofe, muzamil katunzi, ma akina chif kiumbe sio sisi wanatulazimish au hata wale wahindi wanaowadhulum hivi wana umoja wa kusaka haki zao au umoja wa kuwa makuwadi? Aiwezekani leo Ramsey noah aumwe matibabu mil 25 achangishe shame on you all artist from muv industr kazi yenu kubaka vitoto vidodo na vikijitetea mnajiangusha kwa aibu bahati mbaya mnapasua medula oblangata
Nilihoji nami hili lakini sikupata jibu. Vipi wale wasio wasanii waendelee kutaabika na pengine kufa! Nilisema tatizo hapa ni serikali yetu kuboresha huduma za afya kwani na haki ya kila mwananchi kujaliwa afya yake. Ukizingatia swala la Sajuki mpaka wabunge wamechangia mimi ndipo naposhangaa.Wadau kwa muda sasa kumekuwa kunaendeshwa kampeni kali ya kusaka michango kwaajili ya kukusanya fedha za kugharamikia matibabu nchini India ya Msanii wa filamu nchi SAJUKI ambaye kiukweli anaumwa kweli kweli..
Tunashuhudia watu mbali mbali wakitoa mchango yao kwenye kampeni hii ya nguvu, lakini hapa kuna funzo kubwa kwa wasanii wetu. kuna watu wengi nchi hii wanaumwa hoi bin taabani wapo vitandani hawana hata pesa ya kununulia asprin wapo wanasubiri kudra za Mungu tu na hakuna hata mtu mmoja anayewaza kuwachangia zaidi ya ndugu zao wa karibu ambao nao wapo hio kiuchumi
Kwanini SUJUI au kwanini KANUMBA wapate michango mikubwa kiasi hicho?
Je wanapokuwa kwenye pick pesa zao wanatumia vipi? na hasa kwa jamii inayo wazunguka? na tamani basi kuanzi sasa niwe nawaona wasanii hawa wakipishana kwenye vituo vya watoto yatima kutoa misaada, kutembelea mahospitali kugawa vyadarua,kusimama kampeni za malaria,uzazi wa mpango,uzazi salama na mengineyo mengi kusaidia jamii kutokana na vipato vyao na umaarufu wao
Pamoja na kuendelea na maisha yao ya kifahari kwa kupanga majumba ya kifahari, kujirusha sana, kubadili magari na vimwana/mabuzi na tegemea sasa watakumbuka pia jamii hii wanayoipa kisogo pindi wanapokuwa juu ndio hii hurudi kuja kuiomba msaada pindi mambo yanapokuwa magumu
Mwisho namtakia mafanikio mema bwana SAJUKU afanikiwe kwenye mtihani huu mgumu
Mnapenda kulaumu pasi kuangalia kwanini hali imekuwa hivi,
sajuki alipata ajali mchumba/mke akapoteza mguu - je ulimchangia
sajuki kapata matibabu ya awali pesa imekwisha sijui hata kama umemchangia,
kanumba alichangia ili afanye nini, mbona hajarudi kama vipi si mngeacha kuchanga.
naipenda avatar yako! mama wa YESU, UTUOMBEE! AMINA!NAdhani ulimaanisha "kulazimishwa" , sidhani kama umelazimishwa .... au alikuja mtu kukulazimisha?
Hivi anaendeleaje huyu dogo Sajuki.