MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 849
Wewe unaweza kujiona kuwa ni mzima kumbe siku nyingi umekufa kiakili na mtu aliyekufa akili kamwe hawezi kuendelea, Pole sanaSabau hatokei kaskazini ndio maana wanamtenga na pia wanahisi mbio za urais atawapita
Hakuna sababu ya kubisha kitu usicho na hakika nacho. Rift Valley ina makabila mengi na ina karibia asilimia 30 ya kura na ndio maana Raila kwa kujua hilo alimpigia Ruto magoti amuunge mkono akakataa. Matokeo ya uchaguzi yanaonyesha Jubilee ilishinda kihalali, wakati jubilee ina wabunge ukiondoa wa kuteuliwa 193, cord ina 141. Jubilee ina senators 23 cord 18, kura nyingi zaidi na viti vingi vimetoka rift valley. Wakamba wa Kalonzo si wengi wala hawana majimbo mengi
SIDHANI unafutatilia SIASA za KENYA KI HAKI... Kati YA RUTO na MUSYOKA mwenye Wapiga kura wengi ni MUSYOKA na ODINGA aliyoosha an OLIVE BRANCH kwa MUSYOKA; Ukiangalia pia KENYATTA alikuwa na NAJIB BALALA wa PWANI lakini ODINGA alishinda MOMBASA; LAMU Maeneo yote ya Waislamu PWANI; NORTH - TURKANA, Some Parts of Rift Valley... Yeye Ukiangalia alipata kura sehemu zote za KENYA ukilinganisha na KENYATTA...
Sasa nadhani tunataka RAIS wa watu wote sio wa KABILA MOJA tu au wa ENEO MOJA TU... Sasa kama wewe UNAONGELEA MASWA na SHIBUDA -- Maswa ni Wasukuma... Mwanza Mjini ni Wasukuma... ILEMELA ni Wasukuma Maenelo hayo CHADEMA imeshinda... Sasa hatuangalii ENEO tunaangalia NCHI NZIMA SISI SIO KENYA...
Kama wewe Unawaza KENYA... na MAKABILA MAKUBWA KUGOMBEA URAIS... Mawazo yako ni FINYU na ni wa kuogopa kama UKOMA... there is no COORELATION @ all... SIASA zetu ni tofauti kabisa na za KENYA... wao ni siasa za URITHI
Kwahiyo tafadhali sana toa hayo Mawazo kwenye AKILI YAKO!!!
Inaonyesha JINSI SISI WATANZANIA sasa hivi tusivyojua SIASA...
Mkuu kama umenielewa, madhara ninayozungumzia ni yale yanayotokana na mtikisiko maana atalitumia jukwaa kutukana chama na chadema itakuwa inatumia muda mrefu kujibu mapigo badala ya ku focus kujenga chama. Nina hakika gharama ya kumnyamazia ni ndogo sana kuliko gharama ya kumtimuaShibuda hana ushawishi wowote kwa tabia hiyo aliyoionyesha, yaani mtu asaliti chama kiasi hicho halafu abembelezwe? ninakataa kabisa kwanza anatuaibisha wasukuma. CDM inajiandaa kushika dola kuna watu wengi mno watatumika kukivuruga huu ni wakati wa kusafisha bila woga waTZ wanajua kuchambua sio wale wa miaka ya 47 viongozi CDM songa mbele tuko nyuma yenu
Hakuna sababu ya kubisha kitu usicho na hakika nacho. Rift Valley ina makabila mengi na ina karibia asilimia 30 ya kura na ndio maana Raila kwa kujua hilo alimpigia Ruto magoti amuunge mkono akakataa. Matokeo ya uchaguzi yanaonyesha Jubilee ilishinda kihalali, wakati jubilee ina wabunge ukiondoa wa kuteuliwa 193, cord ina 141. Jubilee ina senators 23 cord 18, kura nyingi zaidi na viti vingi vimetoka rift valley. Wakamba wa Kalonzo si wengi wala hawana majimbo mengi
SIDHANI unafutatilia SIASA za KENYA KI HAKI... Kati YA RUTO na MUSYOKA mwenye Wapiga kura wengi ni MUSYOKA na ODINGA aliyoosha an OLIVE BRANCH kwa MUSYOKA; Ukiangalia pia KENYATTA alikuwa na NAJIB BALALA wa PWANI lakini ODINGA alishinda MOMBASA; LAMU Maeneo yote ya Waislamu PWANI; NORTH - TURKANA, Some Parts of Rift Valley... Yeye Ukiangalia alipata kura sehemu zote za KENYA ukilinganisha na KENYATTA...
Sasa nadhani tunataka RAIS wa watu wote sio wa KABILA MOJA tu au wa ENEO MOJA TU... Sasa kama wewe UNAONGELEA MASWA na SHIBUDA -- Maswa ni Wasukuma... Mwanza Mjini ni Wasukuma... ILEMELA ni Wasukuma Maenelo hayo CHADEMA imeshinda... Sasa hatuangalii ENEO tunaangalia NCHI NZIMA SISI SIO KENYA...
Kama wewe Unawaza KENYA... na MAKABILA MAKUBWA KUGOMBEA URAIS... Mawazo yako ni FINYU na ni wa kuogopa kama UKOMA... there is no COORELATION @ all... SIASA zetu ni tofauti kabisa na za KENYA... wao ni siasa za URITHI
Kwahiyo tafadhali sana toa hayo Mawazo kwenye AKILI YAKO!!!
Inaonyesha JINSI SISI WATANZANIA sasa hivi tusivyojua SIASA...
kuhusu maeneo aliyoshinda odinga umeandika uongo. fuatilia ujue ukweli. mfano, maeneo ya pwani ambayo alishinda kipindi cha kibaki mwaka huu amepoteza kwa kenyatta, na hata yale maeneo mengine aliyoshinda kwa kura nyingi mwaka huu kashinda kwa kura chache sana wakati sehemu alizoshinda kenyatta amemuacha jamaa kwa kura nyingi sana.
Lakini swali langu linabaki pale pale: je, Shibuda anaweza kuvutia kura zote za Wasukuma ambao ni karibu 25% ya Watanzania? Jibu ni hapana. Kwa sababu Tanzania hatuchagui viongozi kufuatana na makabila yao.Tanzania hatuna ukabila ila kuna watu wenye ushawishi wa kisiasa maeneo fulani ya nchi, Shibuda ana ushawishi kwa maeneo makubwa ya usukumani, hio ndio ukweli
Naamini unayashuhudia yanayotokea sasa hasa Sonza,Mwampamba,Lekwatare.Katika habari chache tulizokuwa nazo kuna pandikizi kibao ndani ya CDM na kttk hali hii ni lazima watu watimuliwe.Ikiwa kweli mnahilafiana kwa mawazo hamna shida lakini mnapohitilafiana kutoka na baadhi ya watu kuamua ku destabilize chama naamini option ni kutimua hata kama Chama kitakufa,kitazaliwa kingine ambacho kitakuwa kikali kuliko cha mwanzo.Pamoja na kwamba sikubaliani na wewe asilimia 100%, kuna ukweli ndani yake. Badala ya Chadema kupambana na wale watu wenye mitazamo tofauti au maslahi tofauti, ni vizuri kuangalia namna ya kuwa accomodate. Lengo ni kushika dola, mambo mengine tuweke pembeni. Ukishashika dola ndipo sasa unaweza kukunjua makucha!
Sabau hatokei kaskazini ndio maana wanamtenga na pia wanahisi mbio za urais atawapita
Lakini alikuwa na RUTO uchaguzi uliopita alioshindwa na KIBAKI na alishidwa kwa .01% as well the
Tatizo ni WIZI wa KURA au WIZI wa UCHAGUZI...
Kwanini Rais always awe MKIKUYU???