Ya Mwamposa iwe fundisho wapenda mtelezo

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,128
8,648
Wewe unawageni wamekuja kwako ghafula wakaanguka chini wengine wakazimia wengine wakafia mlangoni utakimbia nyumbani kwako kwenda mkoa mwingine ?
Ndio nitakimbia
Hapana kwanza nitachanganyikiwa
Kama umejibu ndio utakimbia kwanini tusiamini wewe unajua A-Z kifo cha wageni wako ?

Kama binadamu mwenye akili ya kiungwana huwezi shuhudia watu wameziamia na wengine wamekufa bila huruma unatoroka na unapanga njama za kukimbia nje ya nchi ndivyo BULLDOZER alichokifanya.

Wanaomtetea BULLDOZER ni hakika waache upangani huwezi niambia ilikuwa bahati mbaya hadi unakwepa polisi na kuanda usafiri wa kutoka nje ya nchi kama kweli ulikuwa na nani njema kabisa umekuguswa ulishindwa vipi kutulia MOSHI hadi swala zima linahesabika kama ajari.

Kama sio kweli wote tunajua kanunua ya kafara hutakiwi kuwepo kwenye kafara yako inakata roho na wakati wa mazishi ili kufanya kafara ifanye kazi, na Mara nyingi watu kwenye nguvu ya MPLO huwa wengi ni mwiko kuudhuria mazishi walio karibu na Mwamposa waniambie kama waliwahi kuona BULLDOZER ni mtu wa misibani kitu ambacho akipo.

Watanzania mafuta ambayo BULLDOZER aliyaweka kwenye turubai kwanza lazima ayaweke shahawa zake bila shaka mafuta huwa yanateleza fikiria kama kweli ulikuwa na nia njema wewe ndio baba utaweza kuwaambia watu kimbia kimbia kanyanga kanyaga na unajua mafuta yanateleza kama sio nia ya kutoa sadaka za damu in nini ?

Hakika kwa anayemtetea BULLDOZER in jambazi kama wengine huwezi niambia kwanini Sadaka zote zilichukuliwa kwenye kikapu zikakusanywa karaka haraka afu zile karatasi za maombi zote zilitekelezwa chini hadi zinanyeshewa na mvua tutumia akili, unajua kabisa kuna viongozi wa juu wanamkingia kifua ndio maana anaweza kukwepa kila njia hadi mtu anakimbia Dar anafanya maombi hiyo si dharaua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndugu Mwamposa ni wakala wa shetani. Nasikitika sana kuona wahanga wakuu wa hawa manabii feki ni wanawake.
Huwezi kupata utajiri au mafanikio pasipo kufanya kazi kwa bidii. Hata Biblia imesema "Asiyefanya kazi na asile" (

2THESSALONIANS 3:10). Ndugu zangu fanyeni kazi kwa bidii, soma Biblia au Kitabu Kitakatifu sawasawa na imani yako na umwombe Roho Mtakatifu akufunulie maandiko. Hayo mengine yote ni unafiki tu.
 
Back
Top Bottom