Ya Mungu mengi ila Dunia ina mengi pia

Ya Mungu mengi ila Dunia ina mengi pia

Nafikiri hawakuwa na strategy vijana wake. Walitumia nguvu nyingi akili chache. Ila hizi ni hekaya tu. Mambo hayapo hivyo kama anavyosimulia FaizaFoxy

Yaani ujue mpaka maswali eti akaulizwa kazi imekushinda?[emoji23][emoji23][emoji23] ni hearsay tu ambazo ni miongoni mwa nyingi zilizotapakaa.
Someones conspiracy theory is someone else's research.
 
Lilikuwa jambo ambalo nahisi kwa roho yake na vile alikuwa anajiona yuko juu ya kila kitu hakuamini .

Safari yake ya pacemaker kuanza kusumbua ilianzia hapo maana presha juu ,kila uchwao maana kwenye akili yake ilikuwa haimithiriki kama yale yanaweza kumkuta yeye akiwa kama namba moja.
Yeah, alitia akili.

Awashukuru sana watu watatu.

Maalim, Profesa na king maker.

Mamvi alikuwa akipiga chapuo kwa pembeni kwenye kuweka mambo sawa, kwa sababu za kiafya.
 
Yeah, alitia akili.

Awashukuru sana watu watatu.

Maalim, Profesa na king maker.

Mamvi alikuwa akipiga chapuo kwa pembeni kwenye kuweka mambo sawa, kwa sababu za kiafya.
Shangazi! Napata picha sasa, na ndiyo maana mwishoni yeye na Maalim walikuwa ma best sana.
 
Umeona eeh.
Kabisa. Sijui Bwana yule na mzee Msoga ugomvi wao na chuki hasa vilianzia wapi. Mbona walikuwa marafiki kabla? Na mzee Msoga alivyo na roho nyeupe isiyo na makuu alimpa mpaka Uwaziri wa ujenzi Bwana yule. Ila mzee Msoga hanaga shida na mtu. Wengi wanamchokoza tu tena makusudi.
 
"inferior complex".

Kisa ni kirefu lakini yote kwa yote ni "complex" tu.

Alihisi kama msoga bado ana mamlaka ya kuweza kumuingilia kwenye maamuzi yake.

He was very wrong.
 
"inferior complex".

Kisa ni kirefu lakini yote kwa yote ni "complex" tu.

Alihisi kama msoga bado anamamlaka ya kuweza kumuingilia kwenye maamuzi yake.

He was very wrong.
Kwani mimi huyu huwa naishi dunia gani hasa isiyokuwa na ufahamu, nami siku moja moja nikawa naulisha umma wa watanzania madini yaliyoshiba kama haya. Samahani napita tu nikiwasalimia wadau wa huu mjadala
 
Nimesoma pages zote kuanzia ya 1 hadi ya 8 ila kuna vitu codes zake za kibabe sana naona tu jpm na kuhusu kifo chake hapa sasa ndo kuna codes mengine yame eleweka

Pia nimeona huyu wao ni wao kama anakwepa kujibu hoja zinazo husu kifo anyway inafurahisha kusoma
 
Kwani aliweka uzi kuongelea habari za kifo??!! Au maisha yake watu wajifunze kupitia yeye?!
Quote ReplyReport Edit
 
Yeah, alitia akili.

Awashukuru sana watu watatu.

Maalim, Profesa na king maker.

Mamvi alikuwa akipiga chapuo kwa pembeni kwenye kuweka mambo sawa, kwa sababu za kiafya.

Dada usimalize mtori wacha nyama wazitafute wenywe
 
In fact walishikwa ma hitman wake kwa mtu ambae alimu underestimate, akapigiwa simu akaambiwa ongea na vijana wako, wakapewa simu vijana wake wakaungama, huku ngoma nzito imebidi tutapike mboga yote. Baada ya hapo hakungoja kitu, ikabidi achome Chato.

Mpaka Maalim alipokwenda kumhakikishia kuwa rudi kazini, nimeambiwa hakuna neno zaidi, yamepita. Akasema mpaka nimsikie kauli yake mwenyewe, Maalim akakoroga uzi kwa mwana diplomasia wa kimataifa, akatolewa hofu lakini akawa hana raha ya kazi kuanzia siku hiyo.

Kisa ni kirefu, kama zilivyo "conspiracy theories" zote, nimekifupisha sana.
jitu puuzi na lifia dini liongo linalojiita faiza
 
Back
Top Bottom