wao ni wao
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 1,179
- 2,827
- Thread starter
- #101
Shukrani sana karibu.Pamoja Baba nafurahia maandiko yako [emoji120]
Shukrani sana karibu.Pamoja Baba nafurahia maandiko yako [emoji120]
Kuumwa sio mwisho mzee harakati zinaendelea magonjwa ni sehemu ya maisha. Ila kweli ungetakiwa upoze hasira zako kwa dasa yule. Labda ungepata mabilioni ukasahau maisha ya bongo😀Simtaki kweli huyo alafu kwasasa sina mvuto kama zama zile
Mabilioni ? Hapana bwana starehe nimezila sana huu ulikuwa mda wa kupumzika na cheo kikubwa huku nakunywa vilaini laini tu , nikiomba umri mrefu zaidi [emoji10]Kuumwa sio mwisho mzee harakati zinaendelea magonjwa ni sehemu ya maisha. Ila kweli ungetakiwa upoze hasira zako kwa dasa yule. Labda ungepata mabilioni ukasahau maisha ya bongo[emoji3]
Sawa mkuu nimekuelewa .Yeremia 17: 5-7. Soma na hapo mkuu
😀😀 bado umri upo kikubwa ufanya mazoezi. Unamuoma mzee wa msoga yuko fiti sana.Mabilioni ? Hapana bwana starehe nimezila sana huu ulikuwa mda wa kupumzika na cheo kikubwa huku nakunywa vilaini laini tu , nikiomba umri mrefu zaidi [emoji10]
Dada Kabula ila sio Jinn Kabula aus sio 😂Kuumwa sio mwisho mzee harakati zinaendelea magonjwa ni sehemu ya maisha. Ila kweli ungetakiwa upoze hasira zako kwa dasa yule. Labda ungepata mabilioni ukasahau maisha ya bongo😀
Dad naona ukilala waota cheo ukiamka wajing'ata 😁na sonyo juuMabilioni ? Hapana bwana starehe nimezila sana huu ulikuwa mda wa kupumzika na cheo kikubwa huku nakunywa vilaini laini tu , nikiomba umri mrefu zaidi [emoji10]
Cheo muhimu bwana.Dad naona ukilala waota cheo ukiamka wajing'ata [emoji16]na sonyo juu
Madam, me pia nilijiuliza sana swala hili!? Naomba tegua basi please [emoji120][emoji120]Vijana na wazee wa. Jukwaa hili, nimeuliza swali hili mara nyingi, fungukeni...
Nini kilichopelekea jiwe akajibanze Chato kwa zaidi ya miezi miwili?
Alibambwa.Madam, me pia nilijiuliza sana swala hili!? Naomba tegua basi please [emoji120][emoji120]
Daaah! Kilichompata stahiki yakeAlibambwa.
Alitaka kuleta shukran ya punda...
In fact walishikwa ma hitman wake kwa mtu ambae alimu underestimate, akapigiwa simu akaambiwa ongea na vijana wako, wakapewa simu vijana wake wakaungama, huku ngoma nzito imebidi tutapike mboga yote. Baada ya hapo hakungoja kitu, ikabidi achome Chato.Daaah! Kilichompata stahiki yake
Watu mna mengi katika Dunia hiiIn fact walishikwa ma hitman wake kwa mtu ambae alimu underestimate, akapigiwa simu akaambiwa ongea na vijana wako, wakapewa simu vijana wake wakaungama, huku ngoma nzito imebidi tutapike mboga yote. Baada ya hapo hakungoja kitu, ikabidi achome Chato.
Mpaka Maalim alipokwenda kumhakikishia kuwa rudi kazini, nimeambiwanhakuna neno zaidi, yamepita. Akasema mpaka nimsikie kauli yake mwenyewe, Maalim akakoroga uzi kwa mwana diplomasia wa kimataifa, akatolewa hofu lakini akawa hana raha ya kazi kuanzia siku hiyo.
Kisa ni kirefu, kama zilivyo "conspiracy theories" zote, nimekifupisha sana.
Lisemwalo...
Mzee wangu unafaa kabisa kuwa comedian[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mabilioni ? Hapana bwana starehe nimezila sana huu ulikuwa mda wa kupumzika na cheo kikubwa huku nakunywa vilaini laini tu , nikiomba umri mrefu zaidi [emoji10]
Sasa si Bora angetimkia Kwa bidenIn fact walishikwa ma hitman wake kwa mtu ambae alimu underestimate, akapigiwa simu akaambiwa ongea na vijana wako, wakapewa simu vijana wake wakaungama, huku ngoma nzito imebidi tutapike mboga yote. Baada ya hapo hakungoja kitu, ikabidi achome Chato.
Mpaka Maalim alipokwenda kumhakikishia kuwa rudi kazini, nimeambiwa hakuna neno zaidi, yamepita. Akasema mpaka nimsikie kauli yake mwenyewe, Maalim akakoroga uzi kwa mwana diplomasia wa kimataifa, akatolewa hofu lakini akawa hana raha ya kazi kuanzia siku hiyo.
Kisa ni kirefu, kama zilivyo "conspiracy theories" zote, nimekifupisha sana.
Nguvu za kiza umezisahau? Au unawasikia tu watu wa kule?