Ya Muna, Peter na Casto Dickson yawe fundisho kwenu!

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,441
Reaction score
12,166
Habar zenu wanajamvi?

Nichukue fursa hii kuwapongeza wakurugenz wa Jf kwa juhudi zao mpka sasa tuko hewani tena hakika mnastail pongezi

Baada ya pongezi na shukuran niende kwenye mada!

Kiukweli kauli anazotoa Rozi Nungu leo baada ya mwanae kufa hasa hiz za kisema alifunga ndoa na peter akiwa na mimba ya Dikson ni kauli ambayo inamuumiza sanaa Peter!

Binafsi ninamjua kaka peter kwa kipindi kirefu akiwa na Rozi Nungu kama mke na mme!

Ninawajua watu hawa kiundani kidgo nakumbuka mwaume alivuokuwa akipambana walau huyu binti aweze kutulia lakini Peter muda mwingi aligonga mwamba kwa sababu binti alikuwa bado kijana!

Leo hii Rozi Nungu anasema mtoto ni Casto mimi binafsi nmekuwa nikimsikia Roz Nungu akimuita peter Baba P.
Nilimskkia mara nyingi kwa sababu ROze Nungu kama anavyojulikana kwa jina Munalove aliwai kuwa mteja wangu Benki alikopa na kushindwa kulipa ndgu Peter nakumbuka alipambana na mkopo huo ambao waliweka dhamana nyumba ya mwananyamala na kuulipa mkopo wote.

Tulikuwa tukimfata ROzi Nungu anatuelekeza tumfate baba P leo hii anatoa kauli hizi?

Sasa niwaombe ili liwe funzo kwenu nyie vijana ambao siku hizi mnatia mimba na ndo mfunge ndoa wewe unajua unafunga ndoa na mke ambae anamimba yako kumbe ya mwenzako!.
 
Shida yako tujue ulimkopesha muna akashindwa kulipa yawanandoa waachie wenyewe
 
Siasa ukiichukulia serious nakat wenzako wanaigza na Mapenz ukaruhusu iwe chanzo chako cha furaha nakat wenzako n chanzo cha pesa, blv me hutokuja kua na amani dunia hii. Yangu macho, Target secured
 
HIVI NI KWELI KUNA MTOTO KAFA, MI NILIJUA "BONGO MOVIE" HAAAAAA
 
HATA MIMI SIJUI NAONA KWA MITANDAO, LABDA KUNYOLEWA VIDUKU NA WAYS.
Kila nafsi itaonja Mauti, Kafa Baba wa Taifa sbuse huyo mtoto...!!! Binafsi siogopi kufa ila nikiona mtu anaogopa kufa sijui na kulalamika pindi anapoondokewa na ndugu yake sijui namuonaje,

Wawe wanapost vifo vya watoto wote wanaokufa basi
 
hizi pumba zimeamia uku tena, bongo nyoso , imekufa familia nzima mkuranga pale, hamna aliestuka, uyu mtoto mmoja ndio anatrendisha upuuzi huu kila kukicha!
 
Mama zetu waliwezaje kufa na tai shingoni na hata leo hawa wa dijitali inawashinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom