VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Ni Rais alikuwa akienda Salasala kuwajulia hali Ndugai na MalecelaDah, leo nimekaa kwa foleni zaidi ya dakika 50, sijui nani alikuwa anapita, ila alikuwa anaelekea Bagamoyo bila shaka.
Kama unaona misafara ya viongozi Tanzania inakera hamia Somalia.Kule msafara wa viongozi ukitokea ukiwa na gari lazima ushuke ulitelekeze na utokomee porini kwa sababu kule havipigwi ving`ora ni kurusha risasi njia nzima kila upande watu wapishe misafara ya viongozi ipite
Huko Dodoma ndio hakuna watu? (Japo sio wengi sana)Bado kidogo wanahamia dodoma tuwe wavumilivu
Tatizo ni muda wa kusubiri Mkuu. Muda unakuwa mrefu sanaKwani wewe upo wapi na hiyo misafara imetokea wapi? Kwa kawaida kusubiri msafara ni jambo la kawaida popote ulimwenguni
Sisi "wanaume wa Dar" ndio tunaombwa tuwe wavumilivu maana "taabu" hizo zitakoma mara! Hao wa Dodoma wajiandae kuishi maisha tuliyokuwa tukiishi kwa muda mrefu. Kwani wao si binadamu kama sisi? Wacha nao wauonje ubinadamu wa kuwa raia wa nchi yetu hii.Huko Dodoma ndio hakuna watu? (Japo sio wengi sana)
Unafikiri yanayofanyika huku huko hayatafanyika?
Kamanda vipi aiseee...
Kwani wewe upo wapi na hiyo misafara imetokea wapi? Kwa kawaida kusubiri msafara ni jambo la kawaida popote ulimwenguni
Daaaah, niliboreka ile mbaya.Ni Rais alikuwa akienda Salasala kuwajulia hali Ndugai na Malecela
Mzee Tupatupa
Tatizo ni muda wa kusubiri Mkuu. Muda unakuwa mrefu sana
Mzee Tupatupa