Ya moyoni kuhusu Manchester United

Ya moyoni kuhusu Manchester United

Mbeky

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
672
Reaction score
520
Habari zenu mashibiki wote wa Man U na wadau wote wa soccer,

Awali ya yote naomba ni declare interest, mi ni die hard Man U fan, nina zaidi ya mapenzi na timu hii mi nina mahaba na timu hii. na nasukumwa na mahaba hayo kuongea haya

Ni wazi kwamba wengi wa mashabiki wa timu hii tumeipenda timu hii sio tu kwa sababu ilikua inafundishwa na SAF bali ni kwa sababu ilikua ni timu ya washindi, timu yenekuleta ushindani mpaka dakika ya mwisho, how many times tumechomoa magoli dk za 90,94 au 96 wakati wapinzania washaamini ushindi upo kwao it was in our DNA, that is Manchester I used to know, je Man U hiyo imeenda wapi…?
Naelewa na kuamini msemo usemao mvumilivu ula mbivu lakini vilevile dalili ya mvua ni mawingu na chelewa chelewa utakuta mwana sio wako.
Wapo wadu wanajaribu kusema hii hali ya timu yetu sa hivi ni kawaida tu hata SAF aliipitia, katika swala la kuipitia sina ubishi nalo ila kusema ni kawaida hapo ndio tunatofautiana,
Hivi expectation za Man u wakati Fergie anakabidhiwa timu zilikua sawa na za Man U ya sasa…? Aliikuta timu hipo katika level gani katika timu za Uingereza…? Hivi expectations walizonazo washabiki wa Swansea kwa kocha wao mpya ni sawa na za mashabiki wa Man U…? je mnataka kusema lengo la kuleta kocha mpya ilikua ni kutoka level zetu za big 4 kwenda kuwa wafalme wa big 7…?
Mpaka hapo nimeshaonesha mlengo wangu ni hupi, YES simkubali Moyes na I put all blames on him kwa kiwango kibaya cha timu yetu cha kihistoria, wanao msupport Daudi wamekua wakisema tumpe muda anajenga timu, nafikiri wangesema tumpe muda maana anabomoa iliyokuwepo kwanza ndio baadae aje kujenge timu mpya….
Timu hii iliyoonekana mbovu leo hii ndio timu hiyo hiyo iliyochokua vikombe msimu uliopita under SAF na benchi lake la ufundi, cha kustaajabisha daudi alipokuja akataka kuonesha ulimwengu ye ni mjuzi wa mambo akafukuza bench lote la ufundi nakuleta lake amabao limeprove failure, binafsi nilifikiri Moyes angekua na short term plan na long term plan, short term plan ingekua ni kuimantain hadhi ya Man U kwa kupitia timu hii hii aliyokuta nahilii ingewezekana kwa kuliacha bench la ufundi alilolikuta maana ndio linaimudu hii timu while long term plan ingekua kutengeneza timu yake mweneyewe kwa kufanya mabadiliko kidogo kidogo amabayo hayata athili timu yote, matokeo yake katuletea wakina Philip Nevell….kweli of all legends wa man U huyu dogo ndio ameona awe mshauri wake…
Na ikumbukwe Moyes ni Manager na sio coacher/mkufunzi na kazi ya manager sio kumfundisha RVP kufunga au Vidic kukaba bali ni kuleta game plan afu wachezaji wanaifollow hiyo game plan, na ili kuwafanya wachezaji wamaiweze game plan yako kwanza ni mpka wae na imani na wewe, pili hiyo game plan yako hiwe workable na mwisho kabisa laziama uwe the good MOTIVATOR, na manager mazuri dunianiani ni good motivator hata kama timu inamapungufu as long as kocha wao yupo wataperform tu kwa kiwango sawa na timu zilizo bora, Moyes kashindwa kabisa hii…. Mbinu za man U siku hizi the are very obvious and predectable mpaka timu zinazaotaka shuka daraja can crack our plans easily and use them against us, mfano game ya juzi na Fulham, mbinu za moyes zilikua old school kabisa, tanua uwanja then piga long crosses, by the way tulipiga cross zaidi ya 80 and then what…!! I wonder mata alinunuliwa kwa ajili gani kama hii ndio game plan ya Moyes
“Moyes the chosen one” hii kauli ndio inatuua sasa man u, sijui ni nini SAF alikiona kwa Moyes mpaka akaamini is the right guy for the Job, na sijui alishindanishwa na nani na kuibuka kinara au kipi exactly walikiona kwa Moyes, binafsi nilipoona The Boss kampendekeza sikua na shaka kabisa ni kiaamini thr Boss siku zote huwa yuko sawa kwenye maaamuzi yake, ila sas nahisi na naaamini on this he gotta it all wrong, ikumbukwe huyo Fergie before coming to Man he was already the winner, he had already won the Scottish League with Aberdeen and he kills the domination of Rangers and Celtics akaja England akaikuta man U hiko dhoofu bin hali, lakini akawatoa waflme Liverpool kileleni, Moyes c.v yake inaonesha alishawai kushinda nini au nini kilichomfanya apewe timu kubwa kiasi hiki…?
Hivi tumekua West Ham united kwamba tunamantain kubakia kwenye league tu….timu imekosa ushindani kabisa afu watu tuansema apewe muda, sa apewe muda wa nini….
MWISHO; nothing personal, ila Moyes kaishaprove he gotta nothing to offer for Man U tukubali tu tulibugi hapo, na ka nakosa Moyes prove me wrong leta ushindi nyumbani, ntakuja hapa na kusema YES you are the right person for our team after all hakuna shabiki anafurahia kushindwa wala hakuna shabiki anajinyonga au kumchoma mtu kisu timu yake inaposhinda kwa kuwa hatupati ushindi as we used to get basi something is wrong somewhere, and it is my duty as a fan to shout about it
 
Mpe muda Moyes. Tusimtupie lawama haraka haraka namna hiyo. Kumbuka timu ilikuwa na majeruhi kibao yaliyosababisha midfield kuyumba na pia safu ya ushambuliaji pale Van Persie na Rooney walipoumia. Sasa pale katikati na safu ya ushambuliaji imefufuka tatizo limebaki kwa golikeeper. Sina imani na kipa. Angalia goli la kusawazisha la Fulam juzi, badala ya kupush mpira utoke juu ya goli yeye anarudisha mpira uwanjani. Anafanya makosa ya mara kwa mara ambayo yanaigharimu timu.

Naipenda Man U na ikifungwa naumia lakini ndiyo hivyo tena. Kiama kingine kinakuja kesho.

Tiba
 
End of an era for Old Trafford dominance.
Great teams come in circles.
There was Benfica, Marseille, Liverpool, Ajax, AC Milan, Madrid, ManU, Barca and now Bayern Munich
 
Kweli Mkuu Mbeky huyu Bwn Moyes sijui kama ataweza kunyanyua juu timu from seven grid to 4 in order tuingie ingawa champions league!!
Vinginevyo tutazidi kushuka ngazi kadili tunavyoelekea ukingoni!!
 
Mpe muda Moyes. Tusimtupie lawama haraka haraka namna hiyo. Kumbuka timu ilikuwa na majeruhi kibao yaliyosababisha midfield kuyumba na pia safu ya ushambuliaji pale Van Persie na Rooney walipoumia. Sasa pale katikati na safu ya ushambuliaji imefufuka tatizo limebaki kwa golikeeper. Sina imani na kipa. Angalia goli la kusawazisha la Fulam juzi, badala ya kupush mpira utoke juu ya goli yeye anarudisha mpira uwanjani. Anafanya makosa ya mara kwa mara ambayo yanaigharimu timu.

Naipenda Man U na ikifungwa naumia lakini ndiyo hivyo tena. Kiama kingine kinakuja kesho.

Tiba

Mkuu kinachoisumbua timu yetu wachezaji hawana hali tena ya ushindani..siku hizi ushindi kwetu ni bahati..kama sio Moyes wa kumwagiwa lawama zote je nini nafasi ya manager katika timu...kwani mdau kipindi cha Fergie hatukuwai kuwa na majeruhi..na kuna kipindi tulikua na bad performance lakini tulikua tunarudi ubaoni tunajiorganize na kurudisha our game...why this is not happening right now
 
Kweli Mkuu Mbeky huyu Bwn Moyes sijui kama ataweza kunyanyua juu timu from seven grid to 4 in order tuingie ingawa champions league!!
Vinginevyo tutazidi kushuka ngazi kadili tunavyoelekea ukingoni!!

Kuna bwana aliwai andika humu JF kwny uzi mmoja akasema kwa speed hii ya Man U kushuka chini lazima watagundua hifadhi ya mafuta au gas
 
Man u mnaota uefa wakato hata ueropa yenyewe amtaipata..?
 
Mpe muda Moyes. Tusimtupie lawama haraka haraka namna hiyo. Kumbuka timu ilikuwa na majeruhi kibao yaliyosababisha midfield kuyumba na pia safu ya ushambuliaji pale Van Persie na Rooney walipoumia. Sasa pale katikati na safu ya ushambuliaji imefufuka tatizo limebaki kwa golikeeper. Sina imani na kipa. Angalia goli la kusawazisha la Fulam juzi, badala ya kupush mpira utoke juu ya goli yeye anarudisha mpira uwanjani. Anafanya makosa ya mara kwa mara ambayo yanaigharimu timu.

Naipenda Man U na ikifungwa naumia lakini ndiyo hivyo tena. Kiama kingine kinakuja kesho.

Tiba

yaani mkuu jamaa kutoa mapoint yote hapo juu bado umeshindwa kumuelewa duh kweli kazi ipo.
 
Mkuu kinachoisumbua timu yetu wachezaji hawana hali tena ya ushindani..siku hizi ushindi kwetu ni bahati..kama sio Moyes wa kumwagiwa lawama zote je nini nafasi ya manager katika timu...kwani mdau kipindi cha Fergie hatukuwai kuwa na majeruhi..na kuna kipindi tulikua na bad performance lakini tulikua tunarudi ubaoni tunajiorganize na kurudisha our game...why this is not happening right now

mkuu mimi nishaongea sana na nishaleta makala yangu hapa ila ukiacha makosa mengine yoote ya moyes i.e kushindwa kusajili,kupanga kikosi,kufanya sub na mbinu sahihi za mchezo kosa lake kubwa alilolifanya ni kutimua benchi la ufundi la fegi yy kaprove failure na waliopo chini yake wanashindwa kumshauri vitu vinavyoeleweka hawana uzoefu na kazi ya ucoach na kuongoza timu
kitu kingine kibaya zaidi ni kwamba sisi hata tuseme vipi kwamba hafai haisaidii kitu saf ashamkubali na yy ndo kamchagua hataki aonekane kafeli katika kuleta mtu ambae si sahihi na glazer family wanamuamini sana na hivi karibuni amesema utakuwa upuuzi kumfukuza moyes kazi ot so mkuu tusahau swala la yy kufukuzwa mpk msimu ujao akiboronga kidog ndo uvumilivu utwashinda hao mabosi na kumtimua so kwa sasa tuvumilie tu matusi,kejeli,dhihaka na tambo za mashabiki wenzetu.
 
Ilimchukua Ferguson miaka 6 hadi aliposhinda ubingwa kwa mara ya kwanza akiwa na ManU.
Mnaolalamika kuhusu Moyes naona mnamwonea tu. Mpeni Moyes angalau angalau miaka 5, meaning inabidi msubiri hadi mwaka 2019
 
Utetezi huu unaompa Moyes mbona nimeuelezea hapo juu vizuri lakini kwa faida yako ntauelezea tena kwa mapana...hivi kaka mahitaji/expectations walizokua nazo watanganyika wakati Nyerere anakabiziwa nchi ni sawa na zile walizokua nazo watanzania mwaka 2010 wakati JK anachukua nchi jibu ni hapana..the same case to Man U...wakati Fergie anaichukua timu aliikuta ni timu ya kawaida sana let's say kama West Ham United ya sa hivi..sasa wewe unafikiri itakuchukua miaka mingapi kuifanya west Ham united bingwa wa EPL that's why Fergie alipewa muda wa kutosha kujenga timu..ila case ni tofauti Moyes kaikuta Man U ni timu in matter of facts ni mabingwa...inakila resources..kama ni mapungufu alitakiwa kuyaona kipindi cha pre season lakini akuliona hilo...
By the way unaijua impact ya timu kama man u kutoshiriki Champions league..
 
mkuu mimi nishaongea sana na nishaleta makala yangu hapa ila ukiacha makosa mengine yoote ya moyes i.e kushindwa kusajili,kupanga kikosi,kufanya sub na mbinu sahihi za mchezo kosa lake kubwa alilolifanya ni kutimua benchi la ufundi la fegi yy kaprove failure na waliopo chini yake wanashindwa kumshauri vitu vinavyoeleweka hawana uzoefu na kazi ya ucoach na kuongoza timu
kitu kingine kibaya zaidi ni kwamba sisi hata tuseme vipi kwamba hafai haisaidii kitu saf ashamkubali na yy ndo kamchagua hataki aonekane kafeli katika kuleta mtu ambae si sahihi na glazer family wanamuamini sana na hivi karibuni amesema utakuwa upuuzi kumfukuza moyes kazi ot so mkuu tusahau swala la yy kufukuzwa mpk msimu ujao akiboronga kidog ndo uvumilivu utwashinda hao mabosi na kumtimua so kwa sasa tuvumilie tu matusi,kejeli,dhihaka na tambo za mashabiki wenzetu.

Mi naamini tukiendelea kulijadili swala hili la Man U hivi at least tunapata relief kwa kufarijiana mashabiki ila binafsi naona Moyes ananitukana tu kila siku
 
Utetezi huu unaompa Moyes mbona nimeuelezea hapo juu vizuri lakini kwa faida yako ntauelezea tena kwa mapana...hivi kaka mahitaji/expectations walizokua nazo watanganyika wakati Nyerere anakabiziwa nchi ni sawa na zile walizokua nazo watanzania mwaka 2010 wakati JK anachukua nchi jibu ni hapana..the same case to Man U...wakati Fergie anaichukua timu aliikuta ni timu ya kawaida sana let's say kama West Ham United ya sa hivi..sasa wewe unafikiri itakuchukua miaka mingapi kuifanya west Ham united bingwa wa EPL that's why Fergie alipewa muda wa kutosha kujenga timu..ila case ni tofauti Moyes kaikuta Man U ni timu in matter of facts ni mabingwa...inakila resources..kama ni mapungufu alitakiwa kuyaona kipindi cha pre season lakini akuliona hilo...
By the way unaijua impact ya timu kama man u kutoshiriki Champions league..

Sioni impact yoyote kwani hata hao Liverpool they are 5 time CL winners na wako nje ya CL toka 2009 na maisha yanakwenda
 
Man U hatupo vizuri msimu huu,lakini kesho lazima tuwachape,heshima mbele.

Matusi yote nayotukanwa na Moyes pamoja timu nzima ya Man U nimeamua kuyavumilia ila hili la kufungwa na Arsenal mzee alivumiliki...
 
Simkubali Moyes.Anawaueni watani zangu wa ulaya.Mngetafuta kocha mwenye uzoefu wa kuhandle madude makubwa kama Man u.Capello,Lippi,Del Bosque,Deschamps,..lakini hawa woote ni tisa,chaguo langu binafsi kwenu ni JUPP HEYNKES!
 
Yahani umemaliza kila kitu..Jupp ndio angeweza vaa viatu vya SAF na vikamtosha...let's say Man U hawakutaka kuchukua kocha mwenye jina kubwa sana basi wangemchukua Diego Simione ila sio huyu Moyes
 
Simkubali Moyes.Anawaueni watani zangu wa ulaya.Mngetafuta kocha mwenye uzoefu wa kuhandle madude makubwa kama Man u.Capello,Lippi,Del Bosque,Deschamps,..lakini hawa woote ni tisa,chaguo langu binafsi kwenu ni JUPP HEYNKES!

with all due respect fergie ametuua hapa katika kumpendekeza moyes kama mrithi wake.
 
Back
Top Bottom