Ya moyoni kuhusu Manchester United

Ya moyoni kuhusu Manchester United

Kwani hajasajili bado...?? Na alikua wapi kipindi cha dirisha kubwa la usajili na limekuja dirisha dogo umeona...
waliompa kazi dm ni man united wenyewe kwa vigezo vyao, na wao ndio watakuwa wa kwanza kumpokinya kazi.Tuvute subira tupunguze jazba na kupends mafanikio ya haraka.vinginevyo wakuamua mwisho wa moyes ni body ya man u tu.ndio maana wengine wanajiua sababu ya matarajio
Yaliyovuka mipaka.mwacheni moyes afanye kazi akiharibuwenye timu watamshughulikia.
 
Hata hiyo bodi ya man u inatambua uwepo wa mashabiki..wanachama na wapenzi wa man u..na lengo la kumleta DM halikua team kuperform hivi...
 
washaenda Dubai kwa mganga wa Fergie wataanza kushinda na kupata nafasi ya kucheza EUROPE LEAGUE kwanza,
 
Back
Top Bottom