Mkuu mshana jr, tarehe 26/04/15 Ya moto band watakuwepo Babati wakiwa na TUNDAMAN, karibu uje ujichagulie ka-desii kamoja ukumbi wa Riverline opposite Suncity. Gharama kwangu.
mi nitakuja aise,siunajua tena hapo pande za Nangara ziwani,Gendi barazani patakuwa hapatoshi.
mshana jr ye navyojua hatokuja ila ataenda Sauzi kwa mzee Madiba ili akafungue duka la biashara.
ila kuaminia kwa mbio,we si kocha wa useni bolt.