Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
What does it add to you? The freedom which irritate others si jambo jema nadhani.
^^
Nashindwa kubadili kwa sababu, hamnipi sababu inawaathiri kitu gani? Ni kwamba inaziba coment isisomeke? Vipi coment yangu inazuia usomaji wa jukwaa zima au thread nzima? Je, nimevunja sheria yoyote ya Jf?
Je nina haki ya kuwa na uhuru wa mimi kuwa mimi? Au lazima sote tuvae sare?
Niwekeni wazi, naamini mkinipa sababu nitaondoa. Vingnevyo katika profile pale kuna buttön ya "Ignore list" ambayo ukini add hutaona comment yoyote automatically, have fun and enjoy your jf life.
^^