Wewe ni perfectionist. Topic closed endelea na ujuaji wako, looks like its something your good at. Rebbeca tumepingana mda mrefu ila hajafikia kutukana. Ila wewe ni mtu special unajua matusi. Kazi nzuriNatumia lugha yoyote ninayo jiskia mda huo na hyo haiondoi u smart or whatever. Sometimes soft language doesn't matter.
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay tufanye yameisha, we baki na ujuaji mi nibaki na u gentle wangu!Hata sijaanza matusi ulianza character assassination simply we differ in arguing and then ukakimbilia ujuaji kwahyo na wewe u mjuaji simply vile mi ni ke nisiwe huru kuandika nikisikiacho vile waweza ni label as arrogant like seriously, mumeshindwa hoja na huyo mwenzako mkaanza attack.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni perfectionist. Topic closed endelea na ujuaji wako, looks like its something your good at. Rebbeca tumepingana mda mrefu ila hajafikia kutukana. Ila wewe ni mtu special unajua matusi. Kazi nzuri
Okay tufanye yameisha, we baki na ujuaji mi nibaki na u gentle wangu!
Unaongea nini we debe tupu. Wanawake wa aina yako ni hovyo sana. Ndio huwa mnatufanya wanaume tuonekane wabayaHahaaaaa wakuitwa gentle man utakuwa wewe. Hivi unajua gentle man walivo real acha utani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa uhovyo sasa hapo uko wapi na wewe. Na kwanini uonekane mubaya ka sikujitakiaUnaongea nini we debe tupu. Wanawake wa aina yako ni hovyo sana. Ndio huwa mnatufanya wanaume tuonekane wabaya
Unataka mashindano ya kuongea ama? Usintafute ubaya bibieI'm not perfect wewe ulianza personal attack ulitegemea nini hapo ooh ujuaji blah blah I like arguing na sio mtu kunishambulia na kuni judge Bila Kujua undani loh.
Dawa ya moto ni moto loh bado huyo fufliled dawa yako ipo jikoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka mashindano ya kuongea ama? Usintafute ubaya bibie
Nimeamua nikuache na matatizo yako maana hujioni kama una tatizo..Still unanipekechea manenoHahaaaaa uhovyo sasa hapo uko wapi na wewe. Na kwanini uonekane mubaya ka sikujitakia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa wewe ndo una shidaNimeamua nikuache na matatizo yako maana hujioni kama una tatizo..Still unanipekechea maneno
Tulia na mwenzio mpigane mikasi usiku sahivi, acha mboyoyo.
si muende pm tu..maana naona mnataka kufahamiana kwa undani zaidi.Hahaaaaa uhovyo sasa hapo uko wapi na wewe. Na kwanini uonekane mubaya ka sikujitakia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio unavyojiongopea hivyo
huyo wa mkoan kakimbilia dar ndo shda
Huyu mtoto kamaindi kali af analeta usoro yani. Tutafika tu lakini mi mndewa.si muende pm tu..maana naona mnataka kufahamiana kwa undani zaidi.
Nadhani una jengine, ntafute kwa privy
Ndio maana kuna mimi na mc pilipili. Ur very right! Ila mwanaume anaeishi kinyume na standards za kiume anashangaza
Zipo mbonakuna manual ya standards za kiume?
Zipo mbona