Ya Magufuli na Jerry Slaa

Dibo10

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,298
1,563
Mara nyingi, nimekuwa najiuliza yu wapi Jerry Slaa katika siasa za Dar es salaam hasa katika utawala huu wa Magufuli. Kijana aliyeinukia ktk siasa kwa kasi kufikia hatua ya kuwa meya wa manispaa ya ilala. Ilikuwa haipiti wiki bila jina lake kugonga vichwa vya habari. Katika pitia pitia yangu ya magazeti ya zamani leo nakutana na mkasa wa Jerry na Jiwe ktk harakati za kisiasa. Nanukuu baadhi ya vipande kutoka katika habari hii kutoka gazeti la raia mwema la tarehe 25 mei 2011

" Hivi karibuni Jerry amekaririwa na baadhi ya vyombo vya nchini akimshambulia Waziri wa ujenzi John magufuli kutokana na waziri huyo kuagiza mabango yote yaliyomo ndani ya hifadhi ya barabara nchini kote yang'olewe.

"Jerry anasema Magufuli anajitafutia umaarufu ktk ndoto zake za kusaka uraisi wa mwaka 2015". Mwisho wa nukuu


Tujipe uwezo wa kusoma maandishi yaliyo ukutani ambayo danieli anayaona lakini mfalme Nebukadneza hayaoni~ Gen Ulimwengu


20200503_141518.jpg
 
JERRY ALIONA KWENYE UMEYA AMEFIKA ! HUKU UKONGA ALIKUWA AKITUAMBIA YEYE SIO MEYA WA UKONGA....TUMKOME... SASA KIKO WAPI ? KATUKANA MAMBA KABLA YA KUVUKA MTO...NA MWAKA HUU HATOBOI TENA. APUMZIKE TUU
 
Back
Top Bottom