glass amo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 3,854 Reaction score 4,693 Mar 24, 2018 #61 Sawa. Baada ya wew kumkubalia tu. Utuletemrejesho nini kilijiri
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Mar 24, 2018 Thread starter #62 mbalizi1 said: Hana shida , maswali yamepungua kiasi. Basi huwa nikikaa naitizamaa weeee hlf nakumbuka asali na kiasali cha unyamwezini kule maana almanusra mnitenganishe na ndoa yangu miaka ile nimeenda kikazi ,nyie wanyamwezi niliwapa respect hahahahaa Click to expand... Aahahahahahahaa wanyamwezi ni hatarii, bora ukae nao mbali tuu maana hatunaga ajizi linapokuja swala la kubeba mizigo mizito. Thanks for the respect. Kwahiyo safari ya treni nae atakuwepo au atakuelewa tuu kuwa unaenda Tabora na Kasie Kiasali?
mbalizi1 said: Hana shida , maswali yamepungua kiasi. Basi huwa nikikaa naitizamaa weeee hlf nakumbuka asali na kiasali cha unyamwezini kule maana almanusra mnitenganishe na ndoa yangu miaka ile nimeenda kikazi ,nyie wanyamwezi niliwapa respect hahahahaa Click to expand... Aahahahahahahaa wanyamwezi ni hatarii, bora ukae nao mbali tuu maana hatunaga ajizi linapokuja swala la kubeba mizigo mizito. Thanks for the respect. Kwahiyo safari ya treni nae atakuwepo au atakuelewa tuu kuwa unaenda Tabora na Kasie Kiasali?
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Mar 24, 2018 Thread starter #63 glass amo said: Sawa. Baada ya wew kumkubalia tu. Utuletemrejesho nini kilijiri Click to expand... Bila kuchelewa ntawajulisha.
glass amo said: Sawa. Baada ya wew kumkubalia tu. Utuletemrejesho nini kilijiri Click to expand... Bila kuchelewa ntawajulisha.