Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
Nyuzi zako nyingi pia ni za siasa. Hili ni jukwaa la siasa. Nenda jukwaa la uchumi, jukwaa la ufugaji, jukwaa la sayansi, ni wewe tu.Badala ya kuwaza maendeleo ya nchi na kuumiza vichwa kutoa mawazo chanya na nini kifanyike ili nchi yetu ipate maendeleo y kweli mmekaa kuwaza vyeo na madaraka tu!
Nyuzi zote unazoanzisha ni vyeo na madaraka tu alafu ndo nchi ipate maendeleo ya kweli.
Nasikitika waliokuteua mwenezi hapo CCM.
Somaga kitu ndo u comment. Wapi nimeongelea siasa? Vyeo/ Madaraka na siasa vinafanana?Nyuzi zako nyingi pia ni za siasa. Bili n8 jukwaa la siasa. Nenda jukwaa la uchumi, jukwaa la ufugaji, jukwaa la sayansi, ni wewe tu.
AnsanteeeBadala ya kuwaza maendeleo ya nchi na kuumiza vichwa kutoa mawazo chanya na nini kifanyike ili nchi yetu ipate maendeleo y kweli mmekaa kuwaza vyeo na madaraka tu!
Nyuzi zote unazoanzisha ni vyeo na madaraka tu alafu ndo nchi ipate maendeleo ya kweli.
Nasikitika waliokuteua mwenezi hapo CCM.
Duh! Sasa kama vyeo na madaraka siyo components za siasa, siasa ni nini sasa? We umekuwaje toka aje kijana Konda?Somaga kitu ndo u comment. Wapi nimeongelea siasa? Vyeo/ Madaraka na siasa vinafanana?
Kwanini asiwe?Kwahiyo kabsaaaa mnawaza DAB awe katibu mkuu? Khaaaaa
...mojawapo ya njozi isiyo na uhalisia ambayo ulishawahi kuota! Amka, kumekucha.CCM anguko lenu linakaribia. 2025 hata siyo mbali.
Uko baa unalewa au sioMama Vunja Bei KM mpya
Kwa hiyo vyeo ndo siasa! Acha nchi yetu iwe na safari ndefu kupata maendeleo ya kweli kama ndo tuna watu wa namna yenu!Duh! Sasa kama vyeo na madaraka siyo components za siasa, siasa ni nini sasa? We umekuwaje toka aje kijana Konda?
Utajua HujuiUko baa unalewa au sio
Wewe umeanzisha kipi kinachohusu maendeleo na hili ni jukwa la siasa, unafanya nini humu wewe, si utoke humuBadala ya kuwaza maendeleo ya nchi na kuumiza vichwa kutoa mawazo chanya na nini kifanyike ili nchi yetu ipate maendeleo y kweli mmekaa kuwaza vyeo na madaraka tu!
Nyuzi zote unazoanzisha ni vyeo na madaraka tu alafu ndo nchi ipate maendeleo ya kweli.
Nasikitika waliokuteua mwenezi hapo CCM.