Ya kweli haya?

Ya kweli haya?

Payer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
824
Reaction score
189
Wengi wanasema eti nguvu halisi ya kiume ni pesa.
Wewe unasemaje?
Pesa inawapa orgasm wadada?
Kwanini inaabudiwa sana kiasi icho....
 

Attachments

  • 1414226554214.jpg
    1414226554214.jpg
    93.7 KB · Views: 374
Pesa jawabu la mambo yote,pesa ikiwepo mfukoni hata kama si kubwa kila saa abdallah kichwa wazi anasimama ila hela hamna asimamie wapi muda wote kainamisha kichwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom