ya kwako ni ipi

Hiyo ya kwanza natumia nikiwa kwa watu
2,5 & 6 nikiwa ghetoni au home kwa wazazi
 
3, 8 na 9 zinafaa wakati umekula Maharage, unakaa kwenye Balcon unajifanya unasoma, kumbe unashusha Gas kama Kipengule cha Airbus A380
 
3, 8 na 9 zinafaa wakati umekula Maharage, unakaa kwenye Balcon unajifanya unasoma, kumbe unashusha Gas kama Kipengule cha Airbus A380
8 & 9 utakaa hivo kwa mda gani?maana kichwa kipo chini bila kuegemea kitu
 
No. 5 ndio pozi langu
ila najisikia kuijaribu no8 nione pozi litatuliaje
 
#8 na 9 lazima kitu yusuffffffffffffffffffff! kichukue nafasi
 
Si zinawahusu wanawake tu mwanaume atakaeka hivi si atatisha watu......kidada jitanueni zaidi hizi pozi zinawapendeza
 
5 na 6, mpka nimeharibu makochi home, niwe nasoma gazeti, nawatch tv, nipo kwa laptop, ndio mikao yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…