Ya kunguru usiyoyajua

Ya kunguru usiyoyajua

slide_12.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege wabaya sana hawa..! Wana hila kama binadamu! Wanatajwa kama moja ya sababu ya kutoweka kama sio kukimbia kwa aina ya ndege wengine waliokuwa wanapatikana hapa dar es salaam miaka ya nyuma!

Wanauwezo wa kupigana na ndege wakubwa na pia kuvamia viota vya ndege wengine pamoja na kuvunja mayai na kuua vifaranga vyao!

Kuna taasisi moja ya mambo ya uhifadhi wa ikolojia walijaribu kuweka mitego maeneo mbalimbali hapa dar es salaam na kuwaua ili wapungue lakini wameshindwa!

Nenda pale library za udsm idara ya zoology (Ornithology) utazikuta research papers zake ziki-asses effect zilizoletwa na ndege huyu!

Sent by Ubavu
 
Kwani wameacha kuwatega?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wadudu wancrem had sura kuna Dogo alizoea kuwapiga piga walikua. Wakimuona wanamfuata mpaka madrasa wanakaa Nje wanasubiri atoke waanze tena kumzomea mpaka mwalimalihis kuna kaushirikina flan

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda unamaanisha mwewe mkuu,mbona sijawahi kuona kunguru akiwa na shida na mtu mkuu.
 
Ndege wabaya sana hawa..! Wana hila kama binadamu! Wanatajwa kama moja ya sababu ya kutoweka kama sio kukimbia kwa aina ya ndege wengine waliokuwa wanapatikana hapa dar es salaam miaka ya nyuma!

Wanauwezo wa kupigana na ndege wakubwa na pia kuvamia viota vya ndege wengine pamoja na kuvunja mayai na kuua vifaranga vyao!

Kuna taasisi moja ya mambo ya uhifadhi wa ikolojia walijaribu kuweka mitego maeneo mbalimbali hapa dar es salaam na kuwaua ili wapungue lakini wameshindwa!

Nenda pale library za udsm idara ya zoology (Ornithology) utazikuta research papers zake ziki-asses effect zilizoletwa na ndege huyu!

Sent by Ubavu
Original walikuwa wakubwa kidogo wastaarabu kiasi fulani halafu walikuwa na rangi nyeupe chini ya mbawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndege wana akili sana nadhani huenda wakawa ni wenye akili kuliko ndege wengine. Yaani ni wajanja mno ndo maana wahenga wakasema " kunguru hafugiki" si kwa sababu ni wakali ila ni sababu ya ujanja wao...

....

Sent using Jamii Forums mobile app
Nuhu alipomtuma kunguru mwewe akaangalie ardhi kama imekauka baada ya gharika mwewe hakurudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sijui yangepewa uwezo wa kutumia kucha za miguu kubeba vitu ingekuwaje?????
 
Back
Top Bottom