mimi namkumbuka kwa baya moja tu ambalo linayafuta hayo mazuri yote.Mimi ninamkubuka sana Rais mstahafu Mh. Jakaya kwa mambo mazuri kumi (10) yafuatayo:
1. ustawi wa demokrasia
2. Barabara nyingi
3. Madaraja marefu yaliyoshindikana kule Kigamboni, Msata na Malagalasy
4. Jakaya Kikwete Hospitali ya Moyo
5. Mwendo kasi
6. Nyumba za wanajeshi
7. Gesi ya Mtwara
8. Upanuaji wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
9. Ndoto ya ujenzi wa flyovers Dar es Salaam.
10. Vikoba
Je, wewe unamkumbuka kwa mazuri yapi?
Acha uongo weye!Una kazi gani sasa?Eti kazi?This is JPM time, Hapa Kazi Tu..!! Tuko busy na kazi
Naogopa wale watu wanaokaa Kimara, Mbezi, Kibamba, Ubungo na wengine wanaotumia usafiri wa mabasi yaendayo haraka kurahisisha maisha yao wakikusikia watakupuza na kukucheka sana.Kwa Miaka Kumi Wananchi Hawana Maji Vijijini Huduma Za Afya Vijijini Za Hovyo Tu Miundombinu Sehemu Nyingi Alikuwa Mpigaji Kama Wapigaji Wengne Elimu Yenyewe Magumashi Wanafunzi Kaacha Wanakaa Chini Madarasa Hovyo Kwenye Uongozi Wake Nampa 40% Ndiyo Aliweza Mengine Yalimshinda Siku Yakitimizwa Haya 1 Maji Nchi Nzima Umeme Uhakika Afya Miundo Mbinu Elimu Kilimo N K
Shule za kata ni ubunifu wa hali ya juu sana, leo hii kila mtaa wa Tanzania kuna watoto wanaosoma sekondari tofauti na zamani ambayo kila kata kulikuwa na wastani wa watoto 2 tu wanaosoma sekondari.Namkumbuka kwa kujenga shule za kata + UDOM
Wewe ndio umechanganyikiwa kabisaa huna nafuu. Hayo unayoyasema hayapo pahala popote kusini mwa jangwa la Afrika, haiwezekani kuwa viongozi woooote wa Afrika na vyama vyao tawala vyooooote Afrika ni wapumbavu.Anzia AHM BWM JK wote ni wa hovyo tu hakuna hata aliyeonyesha dalili ya kuwajali wote walitumika kuwahujumu wananchi hasa wakulima waishio vijijini ambao ni wengi mnatuletea drama za madaraja na udom hapa wote hao ni mafisadi hata huyu aliyepo ni zao la hao hao kina jk so usitegemee jipya tatizo letu watu huwa tunawapima viongozi kwa vitu vya kipumbavu eti madaraja na udom wengine wanapambana kuboresha huduma za kijamii na ilikuwaje kwa miaka 57 wameshindwa kuondoa tatizo la maji elimu afaya miundombinu? watanzania tunaridhika kwa vitu vidogo sana nchi imezungukwa na mito maziwa mabwawa lakini wananchi hawana maji sekta ya kilimo imejaa hujuma tatizo la serikali inatoa huduma mbovu ili iendelee kutawala viongozi wote ni wa hovyo tu hakuna aliye na uchungu na taifa kila mmoja anaangalia tumbo lake tu
Kipindi cha kikwete kilikuwa cha wananchi kutafuta mitaji na kuwekeza kwenye maeneo ambayo yatatoa ajira kwa wananchi mijini na vijijini.wizi ulishamili watu kukaaa kijiweni wakiwa Na uhakika wa pesa za ubwetee. moja kaitia nyumba yake sokoni iseee jpm walegezee hawa jamaa watakua wamejifunza bar hivi sasa wote tunakutana walewale hadi wahudumu wametukariri anajua hadi unacho kunywa hatarareeee mzunguko uko chini ila kwa ambao hatukua na magumashi mambo yame yumba kidogo tu. ushindani umekuavwa haki kutesa kwa zamu
Wanaongelewa Marais Apo, Wewe Unaleta Habari Za Waziri, Waziri Ana Maamuzi Gani Sasa, Yeye Si Anapangiwa Tu Bajeti Aliyekuwa Anaamua Kwamba Sasa Tunajenga Daraja La Kigamboni Ni Waziri SioWaziri wa mabarabara na madaraja alikuwa nani??
Hivi ukiwa chadema lazima uishiwe akili kiasi hiki??
FactTatizo la village elder ni kua anataka kila kitu awe nacho yeye na aabudiwe mfano logic ya kupunguza mishahara iwiane na wengine bado yoote ni kuona watu wengine wanaliowa 40,000,000 kwa mwezi roho inamuuma sana yani
Kweli Kabisa, Ila Leo Hata Yeye Anajuta Mno, Akitazama Uchumi Alivyopambana Kuukuza Leo Unaporomoshwa Kwa Kasi Ya 4G Na Bwana Faru, Roho Inamuuma Sana, Anaona Ni Bora Ata Angemaliza Tofauti Yake Na Blaza Edo Mamvi Akamwachia Nchi Hii Miaka Mitatu Tungekuwa Mbali Mno. Ila Ndugu Yenu Anafurahia Tu Kariakoo Kudoda, Mabenki Kufungwa, Biashara Kufungwa, Mahoteli Anayafunga Tu Huku Anachelea, Fedha Inashuka Thamani Anataka Aprint Mpya Yan Duh. Kagame Katuloga Sisimimi namkumbuka kwa baya moja tu ambalo linayafuta hayo mazuri yote.
hili la ku force issue na kutuletea huyu!!
Nadhani alijua kuwa kuna maisha baada ya Urais kwisha. nadhani sasa hivi anaweza kwenda kusakata dance lake hata kule uwanja wa fisi bila ya kuhitaji msaada wa walinzi wake.hata umkosoe vipi hajui kuchukia wala hakua mtu wa chuki na visasi,, alikua anafahamu wakosoaji na wanaomsifia wote ni ndugu wenye nia njema ingawa wanatumia njia/mbinu tofauti kujenga hoja zao
kwa kuleta meli ya dar bwagamoyoMimi ninamkubuka sana Rais mstahafu Mh. Jakaya kwa mambo mazuri kumi (10) yafuatayo:
1. ustawi wa demokrasia
2. Barabara nyingi
3. Madaraja marefu yaliyoshindikana kule Kigamboni, Msata na Malagalasy
4. Jakaya Kikwete Hospitali ya Moyo
5. Mwendo kasi
6. Nyumba za wanajeshi
7. Gesi ya Mtwara
8. Upanuaji wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
9. Ndoto ya ujenzi wa flyovers Dar es Salaam.
10. Vikoba
Je, wewe unamkumbuka kwa mazuri yapi?
kazi ipiThis is JPM time, Hapa Kazi Tu..!! Tuko busy na kazi