Ya Kikwete yanafurahisha

Ya Kikwete yanafurahisha

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,171
Mimi ninamkubuka sana Rais mstahafu Mh. Jakaya kwa mambo mazuri kumi (10) yafuatayo:

1. Ustawi wa demokrasia
2. Barabara nyingi
3. Madaraja marefu yaliyoshindikana kule Kigamboni, Msata na Malagalasy
4. Jakaya Kikwete Hospitali ya Moyo
5. Mwendo kasi
6. Nyumba za wanajeshi
7. Gesi ya Mtwara
8. Upanuaji wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
9. Ndoto ya ujenzi wa flyovers Dar es Salaam.
10. Vikoba

Je, wewe unamkumbuka kwa mazuri yapi?
 
Kwa Miaka Kumi Wananchi Hawana Maji Vijijini Huduma Za Afya Vijijini Za Hovyo Tu Miundombinu Sehemu Nyingi Alikuwa Mpigaji Kama Wapigaji Wengne Elimu Yenyewe Magumashi Wanafunzi Kaacha Wanakaa Chini Madarasa Hovyo Kwenye Uongozi Wake Nampa 40% Ndiyo Aliweza Mengine Yalimshinda Siku Yakitimizwa Haya 1 Maji Nchi Nzima Umeme Uhakika Afya Miundo Mbinu Elimu Kilimo N K
 
kupanga ni kuchagua kipi kianze na kipi kisubiri
 
Kwa Miaka Kumi Wananchi Hawana Maji Vijijini Huduma Za Afya Vijijini Za Hovyo Tu Miundombinu Sehemu Nyingi Alikuwa Mpigaji Kama Wapigaji Wengne Elimu Yenyewe Magumashi Wanafunzi Kaacha Wanakaa Chini Madarasa Hovyo Kwenye Uongozi Wake Nampa 40% Ndiyo Aliweza Mengine Yalimshinda Siku Yakitimizwa Haya 1 Maji Nchi Nzima Umeme Uhakika Afya Miundo Mbinu Elimu Kilimo N K

Kwaiyo uyo malaika wa chato watu wakaa kwenye madawati acha roho mbaya wew
 
Kwa Miaka Kumi Wananchi Hawana Maji Vijijini Huduma Za Afya Vijijini Za Hovyo Tu Miundombinu Sehemu Nyingi Alikuwa Mpigaji Kama Wapigaji Wengne Elimu Yenyewe Magumashi Wanafunzi Kaacha Wanakaa Chini Madarasa Hovyo Kwenye Uongozi Wake Nampa 40% Ndiyo Aliweza Mengine Yalimshinda Siku Yakitimizwa Haya 1 Maji Nchi Nzima Umeme Uhakika Afya Miundo Mbinu Elimu Kilimo N K

Siku utakayofika Udom ndo utajua he was visionary leader.. Au siku utakayofika pale jk heart institute na kuona walalahoi wanatibiwa moyo ndo utagundua kumbe una roho ya kichawi. Si unajua wachawi wanachukia vitu vizuri?
 
Mimi ninamkubuka sana Rais mstahafu Mh. Jakaya kwa mambo mazuri kumi (10) yafuatayo:

1. ustawi wa demokrasia
2. Barabara nyingi
3. Madaraja marefu yaliyoshindikana kule Kigamboni, Msata na Malagalasy
4. Jakaya Kikwete Hospitali ya Moyo
5. Mwendo kasi
6. Nyumba za wanajeshi
7. Gesi ya Mtwara
8. Upanuaji wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
9. Ndoto ya ujenzi wa flyovers Dar es Salaam.
10. Vikoba

Je, wewe unamkumbuka kwa mazuri yapi?
Ajira kwa wahitimu wengi.Nyongeza ya mshahara kila mwaka kama sheria inavyosema.
 
Back
Top Bottom