Ya Dr. Mwaka na hujuma

Ya Dr. Mwaka na hujuma

kama ni hivyo hakuna uzi utakao aanza ambao hautatiliwa shaka juu ya mletaji. jamaa ameweka na mifano kuhusu sabotage juu ya mwaka. Tumpinge kwa hoja japo kumuonyesha mwaka hayupo sahihi.

Uko sahihi mkuu wengi hawna hoja zenye mashiko zaidi chuki binafsi mleta uzi yuko vizuri sana
 
ifike muda tusiburuzane kwani watu wanapoweka uzi kueleza maovu ya mtu kuna vibaraka wanalipwa sijui au wanamaslahi binafsi wanakuja kutetea na mifano yao ya kitapeli. mtanzania wa kawaida hawezi kushangilia na kua rafiki wa mwaka sababu bei zake tu ni kielelezo.tosha cha utapeli. tunapomtetea huyu dk mabei makubwa ni kutofahamu kua watanzania si rafiki na bei zake.
 
Na yule mshirikina ambaye yuko bungeni anajiita profesa alisomea wapi uprofesa? Mbona hawajamvamia na kumuuliza?
Hata mimi nimekuwa nikijiuliza: Kwa nini Mwaka? Mbona waganga wengi sana wa miti shamba wanajiita madokta na wanajitangaza? Kwa nini Mwaka asakamwe hivyo?

Wenye uelewa zaidi watujuze isije ikawa Kigwangala na Mwaka walipishana mahali fulani pasipo rasmi!
 
Huyo mwaka kaamua kufuta pichaa na account ya insta hahaha pole yake....anafuta za nn sasa...si alipiga na kuzipost mwenyewe. ..eti kokwa ya embe sijui nini nini
 
Wewe ni kati ya wanao lipwa na mwaka kutetea utapeli wake mkiongozwa na kubwajinga, peleka upuuzi wako instagram
 
Mwaka anatibu nina ushahidi, huyo fathergate nae afuatiliwe achunguzwe kwa sababu na yeye anayo clinic yake, yanayoendelea kwa mwaka ni hujuma tu hakuna jipya, kama babu wa loliondo hataenda kuchunguzwa nitamuona kigwangwala hana muelekeo anafanya kazi kwa chuki na wivu tu.
 
Na wewe utakuwa umelipwa kuja kumtetea.

Kweli watu wanatetea ulaji hpo kwa kutaka kumsafisha. Jamani tumshukuru Mungu tumepata kiongozi mzuri kwa kuwaondoa wale figisu figisu wote waliokuwa wanajipatia kipato kwa njia za ulaghai! Na kwanini mapovu yanawatoka kiasi hicho serikali ipo kama anaona ameonewa kuna sehemu za kulalamika hyo Mwaka apeleke vielelezo vinavyohitajika na mwisho wa siku ukweli utajulikana.
 
Hii nchi ..mamlaka halali zimempa leseni na vibali vyote mpaka akajenga clinic, mtu anajitokeza kumfungia natamani itokee kesi moja ili iwe reference kwa wana sheria.
 
Ni mwaka wake umeisha.Kokwa la embe ndo basi tena
 
Back
Top Bottom