Ya Dr. Mwaka na hujuma

jun255

JF-Expert Member
Nov 14, 2015
391
280
INSHU YA DR MWAKA ILIPANGWA

Hivi karibuni mdada machachari anayejulikana kwa kutukana watu bila uoga akijivunia kutoishi Tanzania hivyo mkono wa dora hauwez kumkamata na ambaye alikuja ili agombee ubunge akaishia polisi Mange Kimambi aliibuka na kuanza kumsakama dr Mwaka kuwa ni daktari feki na amekuwa akiwafanyia vitu vya ajabu akina mama.

Iliniumiza akili kumuwazia Mwaka kwa sababu nina ndugu yangu aliyepata tiba kwa huyu jamaa na akapona tatizo lake na leo ana mtoto na furaha maishani mwake.

Nikajiuliza hivi kama kuna watu walifanyiwa vitendo visivyofaa mbona hawajawah toka hadharani? Basi hata huyo Mange mbona hakuweka ushahidi juu ya hao watu zaidi ya porojo?

Nikajiuliza tena! Hivi kila sehemu ya tiba mfano Muhimbili kila anayeenda kupata tiba anapona? Iweje kwa Mwaka waseme kuna wasiopona? Inamaana walitaka wote walioenda pale wapone? mpaka wale waliotoa mimba na kuharibu vizazi?

Wakageuka na kusema anajifanya daktari wa kisasa wakati ana kibali cha mitishamba! Nikajiuliza kuna mtu alishapewa dawa za hospital kule kwa ? Mwaka? Mbona wote wanaoenda pale wanapewa mitishamba na matunda pekee?

Wakauliza amesomea wapi udaktari hivi kumbe uganga wa mitishamba unasomewa? Chuo gani hapa Tanzania na mimi niende?

Nilipata walakini lakini baada ya mishemishe za kutwa tangu Mwaka aumbuliwe kule Insta kama wanavyodai kuna mtu mpya kaibuliwa na anapewa promo sana anaitwa Fadhageti! Kwa sasa ukienda kila page ya superstar utakuta kampost huyo jamaa tena kwa advetise nyingi kuwa anatibu matatizo ya uzazi na sio tapeli na kumpamba kibao.

Jana usiku Mange naye akampost kwa sekunde chache ila watu walipomshambulia akatoa!

Baada ya kuunganisha hayo yote nikagundua kuwa kuna mchezo unaendelea chini kwa chini tena watu wakiwa wamelipwa pesa ya kutosha(mange) na mheshimiwa mmoja ili tu wamshushe Mwaka na kumpandisha jamaa mwingine baada ya kuona Mwaka anakuwa tishio kwa matabibu wenzake wa tiba za asili!

Naamin hamtaweza kwa sababu waliowahi kupata tiba kutoka kwa Mwaka na kupona ni wengi na wanashuhuda zao!!
Sinema bado inaendelea subirini tuone mwisho wake

Junior

Insta USHAURI_mahusiano
 
Hata mimi nimekuwa nikijiuliza: Kwa nini Mwaka? Mbona waganga wengi sana wa miti shamba wanajiita madokta na wanajitangaza? Kwa nini Mwaka asakamwe hivyo?

Wenye uelewa zaidi watujuze isije ikawa Kigwangala na Mwaka walipishana mahali fulani pasipo rasmi!
 
Waliofanyiwa vibaya na huyo dokta feki wamenyamaza kwa kuwa hawako hai!just thinking aloud!!
 
inshu ndio nini
 
Kituo chake cha foreplan clinic kitafungiwa kutoa huduma kabla ya January 20 2016.

kama kwel alikua anawaambia wanawake waweke mchaichai kule ili wawe watam basi pumbavu zake..watu tumemiss chai ya mchaichai yeye anawawekea ukeni!..kwanza utamu wa kule upoje,mbona naona wote sawa tu
 
Hata mimi nimekuwa nikijiuliza: Kwa nini Mwaka? Mbona waganga wengi sana wa miti shamba wanajiita madokta na wanajitangaza? Kwa nini Mwaka asakamwe hivyo?

Wenye uelewa zaidi watujuze isije ikawa Kigwangala na Mwaka walipishana mahali fulani pasipo rasmi!

Halafu Kuna na yule Professor maji marefu, nae mbona wanae bungeni, anatumia cheo cha professor kakisomea wapi!? Kuna doctor John, Dr. Dre, Prof J,
 
Hata mimi nimekuwa nikijiuliza: Kwa nini Mwaka? Mbona waganga wengi sana wa miti shamba wanajiita madokta na wanajitangaza? Kwa nini Mwaka asakamwe hivyo?

Wenye uelewa zaidi watujuze isije ikawa Kigwangala na Mwaka walipishana mahali fulani pasipo rasmi!
Dr. Manyaunyau, DR. Remmy (RIP), Dr Matunge (RIP), Professa Maji Marefu, etc
 
kama ni hivyo hakuna uzi utakao aanza ambao hautatiliwa shaka juu ya mletaji. jamaa ameweka na mifano kuhusu sabotage juu ya mwaka. Tumpinge kwa hoja japo kumuonyesha mwaka hayupo sahihi.
 
TANZANIA ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na madaktari bingwa....kila nguo ya umeme maeneo ya mjini utaona kibao 'DAKTARI BINGWA MTI MKAVU TOKA UFIPA ....' Lakini haya yote ni matokeo ya kutoboresha huduma rasmi za afya
 
Back
Top Bottom