Ya ATC, KLM na BOEING

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Katika pitapita zangu nimekutana na hii tetesi ya kusikitisha juu ya shirika letu la ndege.

Kwanza, kuwa KLM iliwahi kuiomba TZ iikodishie kwa mkopo nafuu ndege zake ili ATC iwe mhsirika wake katika bishara ya usafiri wa anga. Maofisa walikataa kwa kuwa hawakuona mwanya wa kupata 10%. Ndege hizo zilichuliwa na Kenya air na sasa wanachanja mbuga.

Pili. Kuwa kampuni moja ya amerika inayotengeneza ndege aina ya boeing baada ya kuona kuwa Tz ni habu ya usafiri wa anga kwa nchi za Afrika iliiomba serikali iiuzie ndege mpya aina ya boeng kwa mkopo wa muda mrefu, serikali ili kataa kwa kisingizio kuwa sheria za manunuzi haziruhusu kununua moja kwa moja toka kwa manufacturer bali kupitia kwa wakala. Wamarekani wakagoma kupita kwa dalali na dili likafa. Kwa mtaji huu tutasafiria ndege za wakenya mpaka tukomae.
 
mkuu hii ishu aliulizwa mataka tumekupa ndege saba sasa hivi tuna ndege ngapi jamaa anasema zimebaki ndege mbili na moja ipo nairobi kwenye matengenezo

we unafikiri atc itaendelea kuwepo..
 
Kupitia mtu wa kati kama Vithlani ndipo wanapopatikana kina
"V. G. Cent"
Sasa we unafikiri Mattaka hataki na yeye kuitwa Billionea?
Ataitwaje Billionea kama hela ikienda hairudi??
 
wenzetu kenya wako mbali na hatuwezi kuwafikia ktk sekta ya anga.kwa waliowahi kufika uwanja wao wa ndege ni mkubwa na ndege zao hutua walau kila baada ya dk 20. IMAGINE wana boeng 777 inayokwenda amsterdam.london na sehemu zingine za ulaya kwa ubia na KLM.sisi ufisadi umezidi na tumekosa uzalendo
 
mkuu hii ishu aliulizwa mataka tumekupa ndege saba sasa hivi tuna ndege ngapi jamaa anasema zimebaki ndege mbili na moja ipo nairobi kwenye matengenezo

we unafikiri atc itaendelea kuwepo..

mataka amekuta ndege tatu tu jamani moja akaiuza kwa million 800 ile noeing kubwa iliobaki zikabaki hizi 2 ingawa nazo alitaka kuziweka rehani kukopa bank shirika lisonge mbele ama life milele pamoja na ile hati ya ile gorofa waziri akamfgwata asbh na kuomba hati na kumwomba afutilie mbali hayo mawazo
 
katika pitapita zangu nimekutana na hii tetesi ya kusikitisha juu ya shirika letu la ndege.

Kwanza, kuwa klm iliwahi kuiomba tz iikodishie kwa mkopo nafuu ndege zake ili atc iwe mhsirika wake katika bishara ya usafiri wa anga. Maofisa walikataa kwa kuwa hawakuona mwanya wa kupata 10%. Ndege hizo zilichuliwa na kenya air na sasa wanachanja mbuga.

Pili. Kuwa kampuni moja ya amerika inayotengeneza ndege aina ya boeing baada ya kuona kuwa tz ni habu ya usafiri wa anga kwa nchi za afrika iliiomba serikali iiuzie ndege mpya aina ya boeng kwa mkopo wa muda mrefu, serikali ili kataa kwa kisingizio kuwa sheria za manunuzi haziruhusu kununua moja kwa moja toka kwa manufacturer bali kupitia kwa wakala. Wamarekani wakagoma kupita kwa dalali na dili likafa. Kwa mtaji huu tutasafiria ndege za wakenya mpaka tukomae.

mkuu kwa waliooikatalia klm naomba niwape hongera kwanza pamoja na kwamba shirika limekufa..hawa jamaa walileta bplan yao na kuonyesha katika miaka miwili ijato wao wataongeza ndege za dash 8 tu na awakuwa na plan ya kwenda nje ya afrika...sasa basi ikaonekana wanataka kuitumia tanzania kama sehemu ya kujazia abiria wake...kama ujuavyo lazima airline kuwa kubwa iwe imejiimarisha nje ya tanzania na bara la afrika lakini ukisaini mkataba na mtu anaeleta ndege ndogo nandani ya maiaka miwili lazima akili zako ziwe zinafikiria kule sehemu kama wabunge..ndipo wakachomoa
na swala la 10 per walikubali kutoa hilo ingawa southafrican airways waliziidisha dau zaidi ...na kuja na plan kubwa walioshindwa akauifanya baada ya kuanza kupitisha doller zao kupitia hold za ndege za atc

niaminicho mpaka sasa atc kufa aifi cha moto tu watakiona na hii ni kutokana na dhambi za baadhi ya wafanyakazi walionyimwa haki zao na kuishia kusali kila leo itokomee ila naamini aitokufa kabisaa
 
Back
Top Bottom