Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,532
Wakati watu wanasubiri mwaka 2000 kila mtu alikuwa na hofu sana kwa jinsi mijadala mingi ambayo mpaka wakina kibwetero wakatokea hapo.
Mimi na kumbuka wakati tuna subiria 2000 mzee aliwaita ndugu zake wote na kuchinjwa kuku wa kutosha tukisubiri labda yesu anakuja ndio mwisho wa dunia.
Mwisho wa siku asubuhi tulijutia kuku tuliowachinja mwaka jana.