Every one is someone's X.. Ukiona kuna fala kapendwa basi ujue kuna mjanja kaachwa, na ukiona kuna fala kaachwa basi ujue kuna mjanja kapendwa.. Mapenzi ni daladala tunapishana sitiI hope you all doing good today,
I noticed something in social platforms nowadays, most people (especially ladies), wanapoachana na mtu (Ex's) huwa wanasema wamepata watu bora zaidi ya yule aliyepita. So, is it true ukitoka one relationship kwenda nyingine unapata mtu bora zaidi?
Au ni namna mojawapo ya kujipa false happiness ya kujiaminisha upo kwenye better companionship huku ukiignore toxic relationship traits za mpya uliyenaye?
Let's be open minded.
Sio kwa ajili ya kupeleka taarifa upande wa pili kuwa am with a better person kuliko nilivyokuwa na wewe?Wengi huwa tunajifariji tu.
[emoji23][emoji23]Every one is someone's X.. Ukiona kuna fala kapendwa basi ujue kuna mjanja kaachwa, na ukiona kuna fala kaachwa basi ujue kuna mjanja kapendwa.. Mapenzi ni daladala tunapishana siti
Sasa huyo mtu awe better kweli, unakuta hata sio ila basi tu kwa sababu tumeachana nataka uone kuwa na mm nimepata mtu mwingne bora kukuzidi. Mara nyingi tunajifariji tu yakibumbuluka na huko unakuta mtu anaanza ooh kuwa single raha hakuna lolote ni kujifariji tu.Sio kwa ajili ya kupeleka taarifa upande wa pili kuwa am with a better person kuliko nilivyokuwa na wewe?
✓Sometimes ni kujifariji tu maana penzi jipya linakuwa na mbwembwe na kufikisha vijembe,taarifa upande wa pili ila baada ya kukulana zaidi ya mara 2 inaweza kutokea ukaona Bora ulikotoka kuliko ulipo.
[emoji23][emoji23].... Asante sana kaka...Move on kijana. Block her.
Hapana mkuu...Does it matter what people say?
True...That one doesn't matter at all,the big deal is that he or she has moved on swiftly and you should also do the same.
Don't let or wait him/ her to come back to for any reason( s).
You're the definition of an open minded person.Sasa huyo mtu awe better kweli, unakuta hata sio ila basi tu kwa sababu tumeachana nataka uone kuwa na mm nimepata mtu mwingne bora kukuzidi. Mara nyingi tunajifariji tu yakibumbuluka na huko unakuta mtu anaanza ooh kuwa single raha hakuna lolote ni kujifariji tu.
Mathematician...[emoji1666]X ni bora kuliko Y
Kwan hawawezi kuanza mahusiano mapya bila ya kuzungumzia ubaya wa aliyepita?Watu wakiachna Kila mtu anaenda kumpaka matope mwenzie mbele Kwa mbele na kumsifia mpya, ila ukwel utabak palepale
Sent using Jamii Forums mobile app