Xiaomi 13 pro: Simu bora ya Xiaomi 2022


Nikweli unachokiongea ila ukisema s22 nikizuri mara mia ya iphone 13 pro max mara mia shekhe ivi unajua maana ya mara mia kuna jamaa mmoja anaitwa octagraphy ni mfanyakazi wa cloud media ni director aliwahi kusema kuwa ma director wengi na wasanii wengi dunia wanapenda kuzituia iphone kutengeneza short film zao kwakuwa display za iphone zimekidhi vigezo vyote ukiikodolea kwamda mrefu haziumizi macho hazina mwanga wakuchoma mbona za macho hii mada ilikuja baada ya director kenny kusema alishoot show ya daimond kipindi cha corona kwa kutumia iphone xs max
 
Hiyo mara mia ni hyperbole tu mkuu
Point yangu ni kwamba Samsung ana vioo bora kuliko iPhone
 
One UI kuipita iOS ni NDOTO.
Competitor wa One UI ataendelea kuwa MIUI

amka usikariri.ios ni imara ila sio faster na smooth kuzidi zingine.

ukiangalia rewies watumiaji wanalalamikia crashing sio smoothness.
 
amka usikariri.ios ni imara ila sio faster na smooth kuzidi zingine.

ukiangalia rewies watumiaji wanalalamikia crashing sio smoothness.
Niamke, nisiamke, Nikariri, nisikariri. Vyovyote vile
One UI kuifikia iOS ni ndoto. Narudia competitor wa One UI ataendelea kuwa MIUI. Full stop.
 
Mkuu safi sana,unatuwakilisha vyema tunaoielewa MIUI
 
Niamke, nisiamke, Nikariri, nisikariri. Vyovyote vile
One UI kuifikia iOS ni ndoto. Narudia competitor wa One UI ataendelea kuwa MIUI. Full stop.
kwa vile ni msimamo tu hamna shida😅😅
 
Simu za kichina zinafanana karibia zote kimuonekano wa Icons. Zimekaa kama za Techno.

Mbaya zaidi zinakuja na pre installed apps nyingi mno tena zile za kitoto.

Hapo ndo sababu kuu ya kutowaza kununua simu za China.

Xiaomi, Oppo, Real Me, Pocco Phone na wengine wengi tu.
 
Umenunua makumbusho au umeagiza mbele?
 
Kuna pre-installed apps nyingi tu kwenye MIUI unaweza kuzifuta
Pia MIUI 14 inakuja na application nane tu tofauti na MIUI zilizopita ambazo zilikuwa na applications zaidi ya 15
Kuhusu suala la pre installed apps, hata One UI inakuja na applications nyingi sana tena zinakula storage kuliko hata za MIUI
Halafu icons za Xiaomi MIUI zinavutia sana na pia unaweza kubadilisha kama hujavutiwa nazo. MIUI ni tajiri wa themes, wallpapers na features.
Watu wengi wanaosema MIUI ni ya ovyo nikiwauliza ubaya wake wanashindwa kuniambia... Hebu semeni huo uovyo unatokea wapi? Au point yako ni shapes za icons?
Skin ya MIUI za sasa inafanana sana na iOS kimuonekano kuliko inavyofanana na hizo TECNO, oppo, vivo na simu nyingine za kichina
Hata ukisearch comparison ya One UI vs MIUI utaona hamna tofauti sana
 
Ni mtazamo wako, ila binafsi naona muonekano wa apps za ios hakuna wa kumfikia zikifuatia za Samsung.

Hao wachina mna appearance mbovu sana.
 
Ni mtazamo wako, ila binafsi naona muonekano wa apps za ios hakuna wa kumfikia zikifuatia za Samsung.

Hao wachina mna appearance mbovu sana.
Sawa bwana
Kila mtu ana mtazamo wake, huko Quora ukiuliza swali kuhusu MIUI vs One UI utaona majibu yamebalance, wengine wanasema One UI kwa sababu zao binafsi na wengine wanasema MIUI kwa sababu zao binafsi pia lakini humu JF watu hawataki kuwa wawazi, wanakandia sana MIUI kwa nguvu zote ili iwe rahisi kutetea One UI
Ukienda Google na mitandao mingine ya nchi za mbele huko itakuambia kuwa MIUI inafanana sana na iOS.. lakini humu JF watu wanasema inafanana na software ya Tecno.. [emoji23][emoji23]
Ukisearch best Android skins huko Google, MIUI unaikuta lakini humu JF watu wanasema kuwa hii ni software ya ovyo kuliko software zote
Ukienda Google na kusearch review zinaonesha kuwa Xiaomi 13 pro ni simu kali kuliko Samsung Galaxy S22 Ultra na Google Pixel 7 Pro lakini hilo suala ukija kuwaambia humu JF wanajifanya hawaoni na wanakandia sana Xiaomi ili waendelee kuupa uhai msemo wao wa kuwa simu ni Samsung na iPhone tu, au simu za kichina ni feki[emoji23][emoji23]
Huko abroad watu wanalalamikia sana tu kuhusu useless bloatware kwenye One UI ya Samsung, huku JF watu wanalalamikia MIUI tu ambayo bloatware yake ni cha mtoto tu mbele ya Samsung.
Huko mitandao ya wenzetu wameappreciate suala la kupunguza bloatware kwenye MIUI 14 ambayo itakuja na apps nane tu lakini huku JF ukiwaambia wanajifanya hawaoni.
Anyway, lakini point kuu ni kwamba sasahivi brand za muhimu kwenye soko la simu ni Apple (iPhones), Samsung, Google Pixel, Xiaomi na One Plus, yaani hawa wachina wawili hawakimbiliki. Sema m'bongo akishachukia kitu ndio basi tena[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…