Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,880
- 62,484
- Thread starter
- #61
Mbona na China wanasapoti ushoga na usagaji, na wapo kwenye process ya ku allow same sex marriage?
Why is China raising the prospect of same-sex marriage?
Huyo jamaa anadhani makosa ya USA ndo uhalali wa makosa ya China.
Namshauri aibebeshe kila nchi msalaba wake badala ya falsafa za "mbona na fulani msalaba anao?"?