Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,880
- 62,484
- Thread starter
- #41
kwani unataka aseme kile unachokiamini wewe, huo ndio ukweli na wala sio uongo hata kama ukiwaona wenzio mbuzi wew ukajiona binadamu lkn wao hawawezi kubadilika kuwa mbuzi na ukweli juu ya china ndivyo ulivyo.
Huwa unajisikiaje ukiingia China Social media na kuona jinsi wanavyowaita watu weusi "Black devils" , "Low IQ" , "Stinky" , "Poor with deseases"?.
Halafu hujiulizi wala kushangaa serikali yenye uwezo wa kufuta meseji huko kwenye mitandao yao maarufu kama vile weibo, na kwenye mitandao yao mingine iwapo meseji hizo zinaisema vibaya serikali ya China lakini inaacha meseji chafu na mbaya za ubaguzi wa rangi dhidi ya mtu mweusi ziendelee kubaki. Hujawahi kujiuliza kwa nini na unajisikiaje kuona meseji kama hizo?


