Xi Jinping is a big China problem

Xi Jinping is a big China problem

1. Xi Jinping ndiye kinara wa kutesa watu wa jamii ya Kiislamu huko Xinjiang

2. Ni Kipindi cha Xi Jinping uchumi wa China umeslow

3. Xi Jinping amezidi kuminya uhuru wa wananchi kupata taarifa, wananchi wanalishwa propaganda za chama cha kikomunisti kuliko uhalisia wa yanayojiri duniani kwa mfano Xi Jinping kafungia Google na Youtube, Quora na websotes nyingi za kutoa elimu

4. Xi Jinping na serikali yake waliendesha kampeni ya kupunguza watu weusi waliokuwa wakienda katika mji wa Guangzhou kufanya biashara, Systematically walipiga marufuku hoteli nafuu kuwapokea weusi, wakaacha hoteli za gharama mno ndo ziwe zinapokea watu weusi, Wakafanya masharti ya Viza kwa nchi za Afrika kuwa magumu. Xi Jinping anataka kutumia tekniki ya mikopo (Debt Trap) kuziweka nchi za kiafrika katika himaya ya China

5. Chini ya Xi Jinping, bei za vyakula zimepanda sana na maisha kwa wachina yamekuwa magumu kuliko kipindi cha Hu Jintao

6. Serikali ya Xi Jinping imeonyesha kuvumilia vitendo vibaya vya ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, Tuliyoyashuhudia majuzi ya ubaguzi wa kutisha dhidi ya watu weusi yana baraka za serikali ya Xi

7. Serikali ya Xi imekuwa militaristic zaidi kuliko waliotangulia, imekuwa ikitaka kujitanua kibabe, kutaka kuichukua bahari nzima ya South China kwa kudai kuwa ni mali yake, Imezamisha meli ya uvuvi ya vietnam, na kuharass meli za malaysia, Kiufupi ni ujinga kujaribu kunimilikisha bahari kwa madai eti mababu zako walikuwa wsakisafiri kwenye bahari hiyo!. Kama hiyo ingekuwa ni hoja msingi basi Hispania ingedai bahari nzima ya Atlantiki kwa sababu Christopher Columbus alipitia hapo kwenda kuvumbua Americas

8. Xi Jinping anaweza kufanikiwa kuwa powerful leader close to Mao, but hiyo itamaanisha China iliyo dhaifu. China bado ni masikini nyinyi, Kuna mafanikio makubwa katika miji ya Mashariki lakini overall maisha ya watu bado siyo mazuri vya kutosha, mishahara ni midogo na gharama za nyumba haswa mijini ni kubwa sana

9. Kuna consensus ya dunia kwa sasa kuicontain China, hii ni. kwa sababu serikali ya Xi. imesahau ujanja wa watangulizi wake na mbinu yao ya kufukuza "mwizi kimyakimya", Yeye amejisanua wazi, Kafanya parade ya miaka 70 ya China mya na kuonyesha misalaha mikubwakubwa, na kuwafanya west waone kuwa kumbe hawa strategy yao ni. kuwa na uwezo hata wa kuwaangamiza west kwa kuwa na capacity ya kuwapelekra nyukilia kwao. Nila Shaka display ile ya Xi Jinping imewapa NATO uhalali mpya wa kuendelea kuwepo, na kama unavyojua Silaha zinahitaji uchumi, Kitu cha kwanza West watakachokifanya ni kuminya uchumi wa China ili pesa zikalishe watu badala ya kuendelea na programu za misilaha ya kuwadhuru. Xi Jinping anataka kujitanua dunia ione China ilivyo na ngumu, Dunia sasa inapush back

10. Xi Jinping ameshindwa kuelewa siri ya ukimya ya jamii ya China Japo uchumi ulikuwa ukiwapa utulivu wachina, hata ile notion ya uwepo wa mabadiriko ya kiuongozi kila baada ya miaka kumi ilikuwa ni kitu kinachoipa utulivu jamii ya kichina, Kama unavyojua wavhina hawana haki nyingi za kisiasa, ila lile jambo la uwepo wa mabadiriko ya uongozi lilikuwa linasaidia kuifanya nchi iwe na utulivu. Xi Jinping kaondoa term limits na kutaka atawale milele iwapo Mataifa ya dunia yataendelea kuipiga presha China, na investments na Trade kati ya mataifa na China kupungua Xi Jinping atashindwa kwenye ajenda ya uchumi, na kwa kuwa ameshaondoa mlango wa mabadiriko ya amani ya uongozi atslazimika kujiuzulu, au kutokee power struggle ndani ya chama chake, akiwa mbishi kutaanza kutokea fujo mitaani huko China. Kiufupi Xi alikuwa shortsighted kuondoa term limits
1.Xi Anawaua nakuwatesa waisalam wa UIGHUR pale UCHINA wala halina Ubishi hili nikweli kabisa wanawaua Wanatofautiana Nini nawale NATO wanaua WAISLAM mashariki yakati nakwengineko ULIMWENGUNI Pia INDIA usisahau kama wanawatesa nakuwaua WAISALAM wa KASHMIR ?!

2.Kama unategemea RAIS ama taifa litakua linakua kiuchumi Milele pole sana MKUU changamoto Nyingi sana zinatokea zinasababisha UCHUMI kuslow Maadam Ume Slow nahauja anguka basi nikawaida sana mbna MKUU maana hata US mwaka 2008 UCHUMI wao Uliyumba Kweli Kweli

3.Hizo Website Sio Xi tu hata mimi ningekua Rais tu nisinge ziacha hata kidogo zakishenzi hazifai kua katika jamii kama zinatoa elimu Angalia takwimu za wananchi Wa UCHINA kwenye Nyanja ya KIELIMU pia Hao Wamagharibi nao kwakubana Uhuru Hawajambo Wapuuzi tu Nakwapropaganda ndio kabisaa hawafai kupitia hivyo vyombo unavyolalamikia kufungwa ndio vili uwamimisha ulimwengu yakwamba Sadam ana silaha zasumu ila mpaka sasa hatujaziona Hizo nizakufungiwa popote pale ulimwenguni UCHINA wanamitandao yao yakijamii wanamambo yao mengi wanajitegemea wenyewe kwahio kama hawatumii yakimagharibi Ndio mnaona kuminya UHURU?!

4.Hayo Yawatu weusi uliyapata katika vyombo gani vyahabari wakati unasema kama wamezuia Upatikanaji wataarifa Watu tuna ndugu kibao huko UCHINA wanakaa vyema tu japo changamoto zahapa napale wanakumbana nazo Huko ULAYA wao sio wabaguzi kwawatu weusi ?!
Mikopo hamjalazmishwa mnachukua kwakuyajua masharti yake kwamaana mpaka ukichukua umeridhika nayo sasa unailaumu UCHINA kwakipi ?! (nakubaliana na wewe unakuja kwangu unashida nakwambia sawa nakusaidia ila kuna kipengele ili nikusaidie namchukua mkeo anakua mkewangu(samahani kwamfano wangu huu) sasa kama utaridhia nakipengele changu mkeo awe mke wangu mimi nalalamika wapi ama nilikulazimisha si ulikubali mwenyewe masharti yangu

5.Maisha Yamekua Magumu Kuliko US watu wanalala nje hawana hata sehemu zakulala wanapigwa nabaridi namamvua Keki yataifa wanakula watunwachache kina donald na wenzake watu wanatopea katika lindi laumaskini

6.Serikali hawakutoa tamko juu yaliokua yanajiri natamko lao lili husu nn walisema watu wateswe ama wabaguliwe ?!

7.Kama Kujitanua Baharini NATO na bwana wao US wanaongoza maana wao ndio wapo kila kona yadunia Juzi tu hapa tumeona wanailalamikia IRAN inawachokoza kisa wamepitisha boti zao karibu nameli yao yakijeshi iliopo ghuba ya uajemi Haya Huyaoni ?! US na Hao Wazungu wakina NATO wamewapa nini myie watu ?!

8.Hakuna nahaitakaa ije itokee nchi ambayo ina matajiri watupu katika mfumo huu wauendeshaji wakidunia kwani US hakuna Maskini Watu wanalala mpaka nje Uhalifu wakupindukia yote sababu ya hali ngumu halafu huyaoni haya unayaona yawachina Nenda kaiangalie Miji ya US ambayo Majorities wake niwatu weusi unaweza ukanielewa nini namaanisha nasio kama hujui unajua sana nikujitoa tu ufahamu

9.Hayo maneno tu CHINA haija anza kukua kijeshi KISIASA KIUCHUMI kwabahati mbaya nawala haija anza kukua jana wala leo imewachukua miongo namiongo kufika hapa walipo kama walishindwa kuwazuia wakati ndio wanakua kua unahisi watawaweaza sasa wakati washakua
wameona haina haja yakwenda nao kimya kimya wacha wawaoneshe maana hawanatena madhara maana hawana lakumfanya UCHINA hawawezi Kumdhuru KISIASA KIUCHUMI(wanampa changamoto zahapa napale) KIJESHI ndio hawawezi wakakaa wakawaza huu upuuzi maana wanajua litakalo watokea

10.Kama ndio mnategemea Kuiangusha CHINA kwamavugu vugu yakutokea ndani poleni sana Mbna Mpaka sasa Mnahangaika na TAIWAN mnahangaika na HONG KONG nahamna JIPYA maana wameandamana mwisho wakaona wakae kama shida kukaa milele hata kina malkia elizabeth pia wamekaa viongozi wamilele wanajifanya hawana mamalaka yakisiasa niwaangalizi tu kumbe wanamasauti katika mambo muhimu zaidi ya UK kuliko wanavyo waaminisha watu wakae wao kwanza waondoe ukomo wamalkia halaf waje walalamikie CCP kwahizo njia unazosema ndio mtegemee kuaingusha UCHINA mtateseka sana tena sanaa sanaaa maana hamtakaa muweze japo mtajaribu sana na sana kama mlivyo jaribu kwa HUAWEI sasa hivi sijui mmeishia wapi

Namwisho kabisa Xi Jinping Kaipigania sana UCHINA KISIASA KIUCHUMI KIJESHI nandio maana unaona mabadiliko Mengi Makubwa ya UCHINA yametokea Kipindi Cha Huyu Mwamba Aliendelea tu pale alipokua anataka kuanza JINTAO jamaa wamagharibi wanamuogopa sana kama wanavyoogopa Kifo

UCHINA inawakosesha Sana Usingizi wamagharibi wenyewe OG wa US wenyewe OG mpaka wahuku jf

Sent using My COVID-19
 
What do you mean, that he will live for ever? Isn't that a blasphemy.

Xi made China advance through infamous Intellectual Property Theft, depreciating their currency, employing prison inmates to production lines and through applying many vices.

However, as things stand right now, the Chinese economy is inevitably on the decline with the much exalted Xi Jing Ping watching helplessly.
"No matter if it's a white cat or black cat, as long as it can catch mice. It's a good cat ." Deng xiaping. No matter which ways xi used as long as the economy of china prosper he's a good leader.

President Xi will serve as the president of China until his death not by accident, it's because of his magnanimity, ability, and skills to rule the next 'hegimony' country.

And Africa we've got a good partner in development since china does not question about our home affairs whilst negotiations in development issues. Tofati na mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakika.....

Tatizo unayaangalia mapungufu katika lenz ya West vs China, kwamba kwa kuwa west inafanya Ujinga katika mambo kadhaa basi ni sawa kwa China kufanya hivyo pia. Hayo ni makosa, tunasema kuwa Two wrongs don't make it right.
Badala ya kujadili china unasema mbona hata west wanafanya, sasa kama west ni majambazi hiyo inajustify vipi china nao kufanya ujambazi?

Kuhusu criticism kwa viongozi wa West zipo chungu nzima, kuanzia uvamizi wa Iraq, kusapoti ISIS n. k
George Bush, Blair na wengine wamelaumiwa sana kwa uvamizi wao, Sasa Xi Jinping asisemwe kwa nini?, Vitendo vyake vya kuwaweka watu kwenye Concentration camps haviwezi kuachwa kukemewa eti kwa sababu hata USA au West wamewahi kufanya hivyo.

Badala ya kujustify matendo ya Xi wewe umekuja na hoja za "WHATABOUTISM"
 
Una demu wa Kichina basi umeona maisha China swaafi eh?

Una bahati wewe, Zamani kwenye vyuo vya wachina ilikuwa ukichukua demu wa kichina, vijana wa kiume wa kichina walikuwa wanafunga mabweni kuja kulianzisha. Hawataki mtu mweusi achukue binti yao.

Siku hizi kwenye mitandao yao ya kijamii wachina kutwa kutukana na kudharau watu weusi.
Nimesema kuwa na demu wa kichina kwa kumaanisha jinsi ninavyoifahamu china na kusikia kutoka kwa wachina wenyew jinsi wanavyowachukulia viongozi wao wala sio kujisifu, ingekuwa kujisifu ningekwambia nina mwingine anatokea laos kama unaifahamu hiyo nchi. Wachina wana wivu sana, wanaume kwa wanawake na most of the time wanaume hawajui kutongoza so wanakuwa na wivu sana sana na issue ya kukatalia mademu wao, hilo ni jambo la kawaida mimi halinisumbui sana nakumbuka tuliwahi kwenda Beijing wkt flani tu nikakataliwa kulala hiyo hotel na ilikuwa usiku wa saa saba, nikazunguka hotel tatu ya nne ndio nikaruhusiwa kulala ,yeye akalala hotel ya mwanzo.Kesho yake nikatafuta hotel ingine kwa kutumia ctrip application hapo tukaishi tu vizuri. Ubaguzi upo tu as long as sio wa moja kwa moja, mimi sishughuliki nao, ninachojua mimi ni mtanzania sio mchina, so najua wachina wanavyotuchukulia kweny mitandao yao maana huyu dogo huwa ananionyesha video nyingi ambazo wachina wanaofanya kazi africa wanapost na kutukashifu but still wapo wachina wazuri sana tu.
 
Kwahio hao wachina wanao bagua watu weusi ndio wanaiwakilisha UCHINA nzima ?!

Mbna huko EUROPE Ubaguzi yupo Nna Jamaa wangu mmoja yupo SWEDEN nna Mmoja Yupo BELGIUM nna Mmoja yupo CHINA mbna kote kuna ubaguzi MKUU ijapokua Haupingiki Ukweli kama UCHINA ubaguzi umezidi hasa maeneo ya tian mei kama sijakosea spelling ila haimaanishi kama EUROPE hakuna Ubaguzi

Kwahio kwenye suala laubaguzi wote wabaguzi tu maana kuzidiana sio ishu kama wote wanahio hulka.....

Sent using My COVID-19
Ubaguzi upo pote pote tu jambo la msingi inabidi uishi kama mgeni, jua kilichokupeleka wala usipende kufanya arguments nyingi na ujuaji usio na maana. Ubaguzi ni asili ya mwanadamu upo popote, unaanzia kwa mtu binafsi anapoamua kubagua watu flani, kweny familia, jamii, ukanda na nchi ,ukandamizi unaotokana na kutofautiana kimawazo, dini, kabila, rangi, hali ya kiuchumi nk
 
Nimesema kuwa na demu wa kichina kwa kumaanisha jinsi ninavyoifahamu china na kusikia kutoka kwa wachina wenyew jinsi wanavyowachukulia viongozi wao wala sio kujisifu, ingekuwa kujisifu ningekwambia nina mwingine anatokea laos kama unaifahamu hiyo nchi. Wachina wana wivu sana, wanaume kwa wanawake na most of the time wanaume hawajui kutongoza so wanakuwa na wivu sana sana na issue ya kukatalia mademu wao, hilo ni jambo la kawaida mimi halinisumbui sana nakumbuka tuliwahi kwenda Beijing wkt flani tu nikakataliwa kulala hiyo hotel na ilikuwa usiku wa saa saba, nikazunguka hotel tatu ya nne ndio nikaruhusiwa kulala ,yeye akalala hotel ya mwanzo.Kesho yake nikatafuta hotel ingine kwa kutumia ctrip application hapo tukaishi tu vizuri. Ubaguzi upo tu as long as sio wa moja kwa moja, mimi sishughuliki nao, ninachojua mimi ni mtanzania sio mchina, so najua wachina wanavyotuchukulia kweny mitandao yao maana huyu dogo huwa ananionyesha video nyingi ambazo wachina wanaofanya kazi africa wanapost na kutukashifu but still wapo wachina wazuri sana tu.

Kwa nini ulikataliwa hizo hotel, ulifanya kosa gani?
 
Huyu Xi Jingping ni rais wa kipekee sana, anajali sana wananchi wake, ni kiongozi ambaye ameanzia kuwa katibu wa chama ngazi ya kijiji mpk kuwa Rais(wa maisha wa China). Chini ya uongozi wake amefanikisha mambo mengi sana ,
1. Ameongeza influence ya china Africa, Ulaya na Duniani.,
2. 1st operational drone delivery programme
3.1st qualified robotic doctor
4.1st Passenger drone
5.Largest floating solar power plant
6.1st Monkey clones
7.1st Robot staffed bank
8.1st lung regeneration therapy
9.Largest waste to energy plant
10.1st forest city
11.1st solar expressway
12.1st 4K VR set
13.1st trackless smart train and virtual railway
14.1st landing on the far side of the moon
15.1st mass produced 3D printed eletric car
16. 1st 3rd-Gen AP1000 nuclear reactor
17. 1st deep sea mining vessel
18.1st Amphibious drone
19.1st artificial intelligence teaching assistant
20.1st Automated dental implant
21.1st Quantum satelite and unhackable computer network
22. Longest Sea bridge (hongkong-zhuhai bridge
23.1st electric bus fleet
24.1st utra fast 3D microscope
25. Largest single dish Radio telescope
26.Daxin International Airport in Beijing is the largest in the world, ni baadhi tu
Hayo yote yamefanyika kwa mara ya kwanza duniani hapa China chini ya uongozi wa huyu mzee Xi, ana mikakati mingi mikubwa mikubwa ndio maana Trump amemstukia anajaribu kumdhoofisha,sijui vita yao itaishaje.
 
Kwa nini ulikataliwa hizo hotel, ulifanya kosa gani?
Mwenzangu alibook kwa kutumia app ya kichina, so tukanunua hotel cheap ya kawaida. huku sio kila hotel inaruhusiwa kumhudumia foreigner nadhani ni kwa sababu ya usalama nk zipo hotel zinazoruhusiwa kupokea wageni ambazo kiasi zina bei tofauti na hizi za kawaida ,na unapoenda hapo hotelini wanachukua passport, wanaikagua kisha wana iscan na kutuma kwa mamlaka husika.
 
Ubaguzi upo pote pote tu jambo la msingi inabidi uishi kama mgeni, jua kilichokupeleka wala usipende kufanya arguments nyingi na ujuaji usio na maana. Ubaguzi ni asili ya mwanadamu upo popote, unaanzia kwa mtu binafsi anapoamua kubagua watu flani, kweny familia, jamii, ukanda na nchi ,ukandamizi unaotokana na kutofautiana kimawazo, dini, kabila, rangi, hali ya kiuchumi nk
Inaelekea wewe umesharidhika na kubaguliwa, Pole sana mdogo wangu!. Nakushauri kuwa japo huwezi kuleta makeke katika nchi za watu, lakini kataa kubaguliwa, japo chukia ndani ya nafsi yako kuwa ubaguzi siyo sawa. Usiiridhishe nafsi yako kuwa ubaguzi ni kitu normal.

Baada ya kukueleza hayo hebu angalia hii video, Mweusi anatishiwa kifo kwa kudate binti wa kichina. Kuwa makini huko uliko wasije wakakudedisha au kukutengenezea mtego wowote wakaharibu maisha yako.

We are Unknown here, how come unaniita mdogo wako? na hivi tunahama kwenye hoja ya msingi. By the way,binafsi sijawahi kubaguliwa na hata huyu rfk yangu marafiki zangu wa kiume wachina walianza kusuggest kila nchi ina watu wazuri na wabaya hivyo kuna wachina wazuri sana tu kwa tabia. Pia kutokana na historia mambo yamebadilika sana siku za karibuni, kuna waafrica wengi sana wameoa wachina (harusi ya mwisho niliyoshuhudia ilikuwa ya binti wa kichina na mbotswana), na hata watanzania wapo wanaishi nao huku na kufanya biashara, ninajua jinsi tabia zetu za asili zinavyotuendesha kwa hapa naona umeamua kuwa mshauri, nakushirikisha hivi kutoka kwenye ground and real life experience sio kwamba natafuta mtandaoni.
 
Propaganda

Xi ndio master mind anaejua kuzichezea vyema hila za US nawanateseka sana kupitia huyu mwamba na anawatesa mnooo

Hizi propaganda wala hazina maana ila nikitulia ntazipitia vyema kabisa

Xi Master Mind UCHINA chini ya huyu jamaa imekua imara sana KISIASA KIUCHUMI MPAKA KIKORONYA jokes(KIJESHI)

Sent using My COVID-19
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tatizo unayaangalia mapungufu katika lenz ya West vs China, kwamba kwa kuwa west inafanya Ujinga katika mambo kadhaa basi ni sawa kwa China kufanya hivyo pia. Hayo ni makosa, tunasema kuwa Two wrongs don't make it right.
Badala ya kujadili china unasema mbona hata west wanafanya, sasa kama west ni majambazi hiyo inajustify vipi china nao kufanya ujambazi?

Kuhusu criticism kwa viongozi wa West zipo chungu nzima, kuanzia uvamizi wa Iraq, kusapoti ISIS n. k
George Bush, Blair na wengine wamelaumiwa sana kwa uvamizi wao, Sasa Xi Jinping asisemwe kwa nini?, Vitendo vyake vya kuwaweka watu kwenye Concentration camps haviwezi kuachwa kukemewa eti kwa sababu hata USA au West wamewahi kufanya hivyo.

Badala ya kujustify matendo ya Xi wewe umekuja na hoja za "WHATABOUTISM"
Tatizo niwewe MKUU kufanya unamlaumu UCHINA ama Xi Kwakila jambo kama ulivyotaja hapo naumetaja mengi mabaya kanakwamba yeye ndio wamwanzo kuyafanya DUNIANI na UCHINA Nnachotaka kukionyesha kwako nikwamba inawezekana kabisa jamaa akawa anafanya hayo unayo yasema baadhi ana yote ila pia usidhani yakwamba yeye ndio muasisi wamabaya yanafonywa na UCHINA hapo UCHINA na ULIMWENGUNI

napia huwez ukaleta hoja ukategemea eti kila mtu akaiunga MKONO kisa ina justify ama inapinga jambo FULANI hio hapana MKUU umeiongelea mfano MITANDAO kanakwamba KUTOTUMIA mitandao ya WESTERN nidhambi mbna hujasema yakwamba licha yakuifungia mitandao ya WEST ila wanamitandao yakwao ama kuna ubaya mtu kukataza chako ili atumie chakwake kwamaslahi mapana yataifa lake !

Ishu pia nikwamba unautaja upande wa Xi na UCHINA ambao nimbaya tu sasa nimefanya kukuonesha yakwamba mbna UCHINA hata Mazuri wanayo tuu..

Mfano jamaa hapo impelle anjaribu kukutolea ama kukufafanulia hali anayokumbana nayo yeye hapo UCHINA kuwa ipo Kinyume Sana namaneno unayo yasema eti unamwambia kashakubali kubaguliwa ss hata kama anakataa ulitaka afanye nini na anapokwambia kama hajawahi kupingana naubaguzi wamoja kwamoja kama unavyo waaminisha watu hapa

Kama video zawazungu wabaguzi mbona zipo katika michezo zipo katika jamii yakawaida zipo kna Mtu anaishi pale German Mji unaitwa STUTGAT kama sijakosea spelling mbna anasema kibaguliwa kawaida

Tatizo sio naiunga MKONO UCHINA kama unavyodai ila Usiihukumu ama kumhukumu Xi kama yeye ndio mfanyaji wahayo mambo pekee kama unajua kaka na West wanafanya ama walifanya Mbna hujawaeka nawao ?!

Sent using My COVID-19
 
"No matter if it's a white cat or black cat, as long as it can catch mice. It's a good cat ." Deng xiaping. No matter which ways xi used as long as the economy of china prosper he's a good leader.

President Xi will serve as the president of China until his death not by accident, it's because of his magnanimity, ability, and skills to rule the next 'hegimony' country.

And Africa we've got a good partner in development since china does not question about our home affairs whilst negotiations in development issues. Tofati na mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
You must be a beneficiary of the present autocratic rule currently reigning this country and obviously one of the corrupt elements in this regime. But, alas, every dog has its day.
 
1. Xi Jinping ndiye kinara wa kutesa watu wa jamii ya Kiislamu huko Xinjiang

2. Ni Kipindi cha Xi Jinping uchumi wa China umeslow

3. Xi Jinping amezidi kuminya uhuru wa wananchi kupata taarifa, wananchi wanalishwa propaganda za chama cha kikomunisti kuliko uhalisia wa yanayojiri duniani kwa mfano Xi Jinping kafungia Google na Youtube, Quora na websotes nyingi za kutoa elimu

4. Xi Jinping na serikali yake waliendesha kampeni ya kupunguza watu weusi waliokuwa wakienda katika mji wa Guangzhou kufanya biashara, Systematically walipiga marufuku hoteli nafuu kuwapokea weusi, wakaacha hoteli za gharama mno ndo ziwe zinapokea watu weusi, Wakafanya masharti ya Viza kwa nchi za Afrika kuwa magumu. Xi Jinping anataka kutumia tekniki ya mikopo (Debt Trap) kuziweka nchi za kiafrika katika himaya ya China

5. Chini ya Xi Jinping, bei za vyakula zimepanda sana na maisha kwa wachina yamekuwa magumu kuliko kipindi cha Hu Jintao

6. Serikali ya Xi Jinping imeonyesha kuvumilia vitendo vibaya vya ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, Tuliyoyashuhudia majuzi ya ubaguzi wa kutisha dhidi ya watu weusi yana baraka za serikali ya Xi

7. Serikali ya Xi imekuwa militaristic zaidi kuliko waliotangulia, imekuwa ikitaka kujitanua kibabe, kutaka kuichukua bahari nzima ya South China kwa kudai kuwa ni mali yake, Imezamisha meli ya uvuvi ya vietnam, na kuharass meli za malaysia, Kiufupi ni ujinga kujaribu kunimilikisha bahari kwa madai eti mababu zako walikuwa wsakisafiri kwenye bahari hiyo!. Kama hiyo ingekuwa ni hoja msingi basi Hispania ingedai bahari nzima ya Atlantiki kwa sababu Christopher Columbus alipitia hapo kwenda kuvumbua Americas

8. Xi Jinping anaweza kufanikiwa kuwa powerful leader close to Mao, but hiyo itamaanisha China iliyo dhaifu. China bado ni masikini nyinyi, Kuna mafanikio makubwa katika miji ya Mashariki lakini overall maisha ya watu bado siyo mazuri vya kutosha, mishahara ni midogo na gharama za nyumba haswa mijini ni kubwa sana

9. Kuna consensus ya dunia kwa sasa kuicontain China, hii ni. kwa sababu serikali ya Xi. imesahau ujanja wa watangulizi wake na mbinu yao ya kufukuza "mwizi kimyakimya", Yeye amejisanua wazi, Kafanya parade ya miaka 70 ya China mya na kuonyesha misalaha mikubwakubwa, na kuwafanya west waone kuwa kumbe hawa strategy yao ni. kuwa na uwezo hata wa kuwaangamiza west kwa kuwa na capacity ya kuwapelekra nyukilia kwao. Nila Shaka display ile ya Xi Jinping imewapa NATO uhalali mpya wa kuendelea kuwepo, na kama unavyojua Silaha zinahitaji uchumi, Kitu cha kwanza West watakachokifanya ni kuminya uchumi wa China ili pesa zikalishe watu badala ya kuendelea na programu za misilaha ya kuwadhuru. Xi Jinping anataka kujitanua dunia ione China ilivyo na ngumu, Dunia sasa inapush back

10. Xi Jinping ameshindwa kuelewa siri ya ukimya ya jamii ya China Japo uchumi ulikuwa ukiwapa utulivu wachina, hata ile notion ya uwepo wa mabadiriko ya kiuongozi kila baada ya miaka kumi ilikuwa ni kitu kinachoipa utulivu jamii ya kichina, Kama unavyojua wavhina hawana haki nyingi za kisiasa, ila lile jambo la uwepo wa mabadiriko ya uongozi lilikuwa linasaidia kuifanya nchi iwe na utulivu. Xi Jinping kaondoa term limits na kutaka atawale milele iwapo Mataifa ya dunia yataendelea kuipiga presha China, na investments na Trade kati ya mataifa na China kupungua Xi Jinping atashindwa kwenye ajenda ya uchumi, na kwa kuwa ameshaondoa mlango wa mabadiriko ya amani ya uongozi atslazimika kujiuzulu, au kutokee power struggle ndani ya chama chake, akiwa mbishi kutaanza kutokea fujo mitaani huko China. Kiufupi Xi alikuwa shortsighted kuondoa term limits
This is a food for thought that as I know this forum, only few will understand what you've written.

Huu utawala wa kikomunisti wa China hauna miaka kumi mbele na cha kwanza kabisa kitakachopelekea anguko lake ni uchumi ambao tayari umeshaanza kuparaganyika.
 
Kama wameushindwa Utawala Wakorea Unakaribia Karne Sasa watuweza Utawala wa UCHINA

Kwataarifa yako huo mwaka 2030 kama tutakua hai ama tumekufa UCHINA itakua Ndio KIRANJA wadunia.....

Haya Maneno Yakuziangusha Tawala Tushayazoea hata WAAJEMI walituaminisja Yakwamba Hautachukua Hata Miaka Mitanio Baada Ya Mapinduzi Ya 1979 sasa hv wanaitafuta Nusu Karne

UCHINA Yamiaka 20 Nyuma Nahii Yasasa Ipi Ilikua Taabani KISIASA KIUCHUMI KIJESHI KIJAMIII namengineyo ?!

Mnatamani yatokee hayo mnayoyatamani kwa UCHINA ila Sirahisi Kutokea WWAMAGHARIBI walishachelewa Sanaaaa.....

Wewe ni shabiki tu tena wewe bado mtoto, mimi ndio nakwambia hakuna ujualo, China inazama.
 
Kama wameushindwa Utawala Wakorea Unakaribia Karne Sasa watuweza Utawala wa UCHINA

Kwataarifa yako huo mwaka 2030 kama tutakua hai ama tumekufa UCHINA itakua Ndio KIRANJA wadunia.....

Haya Maneno Yakuziangusha Tawala Tushayazoea hata WAAJEMI walituaminisja Yakwamba Hautachukua Hata Miaka Mitanio Baada Ya Mapinduzi Ya 1979 sasa hv wanaitafuta Nusu Karne

UCHINA Yamiaka 20 Nyuma Nahii Yasasa Ipi Ilikua Taabani KISIASA KIUCHUMI KIJESHI KIJAMIII namengineyo ?!

Mnatamani yatokee hayo mnayoyatamani kwa UCHINA ila Sirahisi Kutokea WWAMAGHARIBI walishachelewa Sanaaaa.....
Sent using My COVID-19
Usiombee China awe superpower, mchina haheshimu mazingira, haki za wanyama,
haki za binadamu, Ukataji holela wa miti, Atakubana haki ya kuzungumza , hajali haki za mtu wa chini.
Mchina hana dini haamini Mungu,
Mchina anaabudu pesa na power.

Mchina akiwa Superpower hiyo mito yako, maziwa kwenye nchi yako yatajaa kemikali za kusababisha kansa maana anaingia huko interior kuchimba dhahabu na mercury ya kusafishia anamwaga kwenye vyanzo vya maji bila kujali afya za viumbe hai.

Mchina akiwa Superpower fahamu kuwa ataflood nchi yako na watu wake bila hofu kwa sababu anajua hakuna wa kumfanya lolote duniani.

Usiombee Mchina awe superpower, utafanyiwa survuillence wewe kila pembe ya miji kwa kuwekewa kila aina ya CCTV camera ili kukumonitor, mchina hatataka watu wa kuibuka katika mataifa na kuchallenge hegemony yake katika mataifa.

Mchina akiwa Superpower, hao tembo wako, nyati, na viumbe wengine wapo hatarini maana raia wake watakuwa wanakwenda kwenye mataifa na kufanya mambo ya ajabu with impunity.

Taifa linalowanyima watu uhuru wa taarifa na habari usiombee liwe superpower litabrainwash dunia nzima ili. kulinda superpower status yake!
 
Mtanzania naemtetea mchina namuona kama mbuzi tu
kwani unataka aseme kile unachokiamini wewe, huo ndio ukweli na wala sio uongo hata kama ukiwaona wenzio mbuzi wew ukajiona binadamu lkn wao hawawezi kubadilika kuwa mbuzi na ukweli juu ya china ndivyo ulivyo.
 
Back
Top Bottom