Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,253
- 44,363
gharama ni kama ifuatavyo zote nime estimate
gharama za games
-Nintendo wii ni sh 252,000
-Ps3 ya 160gb ni sh 334,320
-Xbox 360 sh 184,800
Nintendo wameshusha game maana wanarelease game jipya wii u ambalo bei ipo estimated laki 6.
controller au pad
SH 7000 ZOTE MTUMBA.
-zinarange sh 30,000 hadi 40,000 original na wireless
bei ya cd
Hapa inakua ngumu kutokana na aina ya game tuchukue sample fifa2012
Ps3 fifa ni 57,000 according to amazon
Xbox ni 80,000
Wii wao ni 75000
Kama huna hela kama mimi fanya hivi
-Game buree download dolphin emulator kwenye pc Download Dolphin
-pad ni keyboard yako
-cd ni internet yako na mda wa kudownload
Swali zuri kama hili sijui ilikuaje likakosa jibuoya chief..bongo nitapata wap,pre owned ps3..kwa bei chee,pamoja na cds..
Swali zuri kama hili sijui ilikuaje likakosa jibu
gharama ni kama ifuatavyo zote nime estimate
gharama za games
-Nintendo wii ni sh 252,000
-Ps3 ya 160gb ni sh 334,320
-Xbox 360 sh 184,800
Nintendo wameshusha game maana wanarelease game jipya wii u ambalo bei ipo estimated laki 6.
controller au pad
SH 7000 ZOTE MTUMBA.
-zinarange sh 30,000 hadi 40,000 original na wireless
bei ya cd
Hapa inakua ngumu kutokana na aina ya game tuchukue sample fifa2012
Ps3 fifa ni 57,000 according to amazon
Xbox ni 80,000
Wii wao ni 75000
Kama huna hela kama mimi fanya hivi
-Game buree download dolphin emulator kwenye pc Download Dolphin
-pad ni keyboard yako
-cd ni internet yako na mda wa kudownload
mtaani watu wanacheza ps2, labda kama unataka ku advance mwenyewe na kuchezesha console za kisasa.Uzi wa mda ila kuna kitu nataka msaada hapa nataka nianzishe ka biashara ka Gaming mtaani sasa naomba ushauri kati ya PS na X box ipi ni inafaa kwa biashara mkuu interms of durabiliy,games availability hata kama kwa free au cracks,graphics,reasonable price console,comfortability na vingine ambavyo unaweza nishauri kulingana na hii biashara ya mtaji wa kawaida tu mkuu hivo ndo maan nataka nizingatie unafuu hasa nianze na tv mbili so unanishauri vipi hapo na je kama PS au Xbox aina ipi ni nzuri na wapi naweza pata.ahsanteh
mtaani watu wanacheza ps2, labda kama unataka ku advance mwenyewe na kuchezesha console za kisasa.
naona.zote ps3 na xbox 360 zinafaa, itategemea ipi utaipata rahisi sababu common games kama pes, fifa na gta zinapatikana kote kote.
angalia bei ya ps3 na xbox ambayo wameshaihack tayari ambayo ni rahisi chukua.
Ingia kupatana.com, by the way kwann usitafute ambayo iko chipped mkuu?oya chief..bongo nitapata wap,pre owned ps3..kwa bei chee,pamoja na cds..
Wii mostly games zake ni za motion sensors sanaMe naona Pad za Wii ziko fresh kwenye games za sports kama vile Golf, cricket, bowling na racing
nenda kupatana mkuu, uhakika 350,000 unapata ps3 au xbox 360 ambayo imeshakuwa chiped, ila ukitafuta vizuri unapata chini ya hapo, naona xbox hadi chini ya laki 2, ila ujue mkuu kuna xbox na xbox 360, unayotakiwa kuitafuta wewe ni 360 hio nyengine haikufai.Unaweza nisaidia hilo mkuu kupata hiyo site mi nataka ni advance kidogo nipate kama x box na ps2 ili kuleta changamoto na competitors wangu
nenda kupatana mkuu, uhakika 350,000 unapata ps3 au xbox 360 ambayo imeshakuwa chiped, ila ukitafuta vizuri unapata chini ya hapo, naona xbox hadi chini ya laki 2, ila ujue mkuu kuna xbox na xbox 360, unayotakiwa kuitafuta wewe ni 360 hio nyengine haikufai.

https://www.amazon.com/gp/aw/d/B00D9FQAM0/ref=mp_s_a_1_6?ie=UTF8&qid=1506091968&sr=8-6#nenda kupatana mkuu, uhakika 350,000 unapata ps3 au xbox 360 ambayo imeshakuwa chiped, ila ukitafuta vizuri unapata chini ya hapo, naona xbox hadi chini ya laki 2, ila ujue mkuu kuna xbox na xbox 360, unayotakiwa kuitafuta wewe ni 360 hio nyengine haikufai.
Ina maana hizi chiped nitakuwa napakua game kwa mtandao tu bila kununua ma cds