ukiwa sio tu kama moja ya kaka na rafiki yangu hapa jamvini bali pia kama
mmoja wa member ambae huwa nafurahia uwepo wake kwa mada mbali mbali na mijadala
ya hapa na pale ambayo huwa tunabahatika kukutana katika jamvi...
Naomba nichukue nafasi hii kukupongeza kwa siku yako hii ya kuzaliwa
huku nikiomba na fellow members kuniunga mkono katika hili.
Inaweza isiwe much by throwing a thread, but walau it is one of a way ya
ku acknowledge kuwa you are really appreciated here na kuwa tupo pamoja na wewe
katika siku yako hii hata kama ni kijamvi jamvi... Lol.
Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Neema,
Akubariki na kukuneemesha wewe pamoja na familia yako na pia
kukupa maisha marefu yenye baraka na furaha tele...
Kamati kuu ya hii sherehe itasimamiwa na wifi zangu wapendwa... Sijajua nani atakuwa mbabe wao kati ya sweetlady, King'asti na Dena Amsi...
Chakula kama kawaida tunawaomba sana akina FirstLady1, Mwali, Keren_Happuch, Madame B, MadameX bila kumsahau mdogo wangu mpendwa gfsonwin.... (Jamani kama wageni ni wengi ongezeni orodha chakula kiwe cha maana! Lol)
Happy Birthday mukubwa......lakini sasa hapo kwenye muziki munene.....kuna mtu nimepangwa nae na nimemnunia..... AshaDii.....huwezi kunibadilisha ukaniweka sehemu nyingine?......naogopa kuharibu sherehe........

usafiri naomba umuachie Asprin na watu8,
hawa ni wamiliki wa zile costa pale pande za BIAFRA... au Bishanga nakumbuka kama alishakua konda.
mimi naomba mnirudishe mitaa ile ile ya ndovuuuuu...lol
AshaDii kunipanga na Erickb52 kwenye kamati ni kama umeiua maana atasepa na pesa zote kwenye ulevi wake Mtambuzi heri ya siku yako ya kuzaliwa. Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu ya furaha na amani na upate heri ya kuishi maisha marefu pia
Hongera sana mkuu
Happy Birthday mukubwa......lakini sasa hapo kwenye muziki munene.....kuna mtu nimepangwa nae na nimemnunia..... AshaDii.....huwezi kunibadilisha ukaniweka sehemu nyingine?......naogopa kuharibu sherehe........
AshaDii kunipanga na Erickb52 kwenye kamati ni kama umeiua maana atasepa na pesa zote kwenye ulevi wake Mtambuzi heri ya siku yako ya kuzaliwa. Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu ya furaha na amani na upate heri ya kuishi maisha marefu pia
Hongera sana mkuu
Happy birthday mkuu wa UNUNIO, nakutakakia ijumaa nyingine nyingi za kutuburudisha na kutuelimisha! Usijali mapambo tunaweka theme ya miaka ya ujana wako ili uweze kuvuta hisia zaidi ya matukio mengi zaidi.
Huu ni upendeleo wa wazi kabisa na haikubaliki kwa viwango vyovyote vile........Kila mtu hapa Jukwaani anajua eksipiriensi yangu kwenye masuala ya vinywaji .......haiwezekani mtu atoke from no wea aje apate nafasi adhim kama hii na wakongwe tupo kisa muandaaji wa sherehe ana pasono interesti na mchaguliwaji.